Mabadiliko 5 Yataendelea Msimu 2020/21 - FIFA.

Mabadiliko yaani Substitutions 5 zitaweza kuendeleaTimu zitaweza kuendelea kutumika kwenye mechi moja hadi mwisho wa msimu wa 2020/21.

Baada ya shirikisho la soka Duniani “FIFA” kuchagua kuongeza utumizi wa sheria hiyo kutoka Mabadiliko ya Wachezaji watatu tu.

Baraza hilo linaloongoza la mpira wa miguu ulimwenguni linasema sasa ni maamuzi ya Ligi husika Duniani na Mashindano mengine ya Soka kuamua ikiwa wanataka kuendelea kuruhusu kuendelea na sheria hiyo iliyowekwa kuwa ya muda tu.

Mabadiliko 5 Yataendelea Msimu 2020/21 - FIFA.

Kuruhusiwa kwa Mabadiliko hayo sasa inatarajiwa kutumika hadi Agosti 2021, ikimaanisha Mashindano ya UEFA, EURO na Copa America wanaweza kupitisha kufanya Mabadiliko ya Wachezaji watano msimu ujao wa kiangazi.

Uamuzi wa kuongeza idadi ya hiyo ulioruhusiwa kutoka kwa wachezaji Watatu hadi Watano imekuja baada baada ya janga la Coronavirus ili kuwalinda wachezaji kupata majeraha yanayoweza kutokea wakati ligi zilipoanza tena.

Ligi Kuu Bora za Ulaya zote zilichukua sheria hiyo na kuitumia na inatarajiwa kutumika mpaka msimu ujao wa Ligi.


Kuna ofa kibao sana unazofaidi ikiwa unabashiri na Meridianbet. Jiunge sasa kufurahia ofa zetu

Bonyeza HAPA Kujiunga.

57 Komentara

    Taarifa njema

    Jibu

    Asanteh kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Ahsante kwa habari njema #meridianbet

    Jibu

    Ni habari nzuri.pia tuendelee kuomba Mungu atuepushie mbali na hili janga la voronavirus

    Jibu

    Asante kwa habari nzuri meridian

    Jibu

    tunasubiri ayo mabadiliko jamani

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema sana hizi nifuraha sana

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Ahsant meridian kwa taarifa njema

    Jibu

    Habari njema kabisa hizi sio kwa kuongezewa huko kwa watu wa kuwasajili

    Jibu

    FIFA Wamefanya jambo la maana sana kwani kutasaidia baadhi ya wachezaji nao kupata nafasi ya kucheza kwenye timu husika na kuondoa hali ya kukaa bench muda mrefu

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Habarii njema.

    Jibu

    Hii itasaidia vilabu kwa kiasi fulani

    Jibu

    Kwakiasi fulani itasaidia

    Jibu

    Habari njema kwa wapenda soka#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Safi sanaa FIFA ikiwezekana ongezeni ziwe mpaka 6 …

    Jibu

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    asnte meridianbett kwa taarifa

    Jibu

    Itakuwa vizuri.

    Jibu

    Habari nzuri sana

    Jibu

    Safii hii pongezi ziende kwa FIFA kwa sababu ya kuwapa nafasi wachezaji wengine kucheza

    Jibu

    Kumbe hii ni Temporaly? mi nilijua ndo imeshapita tayari

    Jibu

    Habar njema sana 👍

    Jibu

    Hii haitakiwi kuwa temporary inabidi waipitishe kabisa

    Jibu

    Mambo mazuri hayoo

    Jibu

    mambo ni moto na meridianbet

    Jibu

    Good news

    Jibu

    mabadiliko 5 inasaidia sana katika mechi

    Jibu

    Asante meridian bet tz kwa update za michezo

    Jibu

    Ni sheria nzuri ningependa iendelee kutumika siku zote#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Habar njem

    Jibu

    Ni habari ya kutia moyo kwa mashabiki.

    Jibu

    N habar njema kwa vilabu vyote vya mpira wa miguu na watakao faidika ni wale club yenye kikosi kipana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Meridian mpo vizuri kwa habari nzuri za michezo

    Jibu

    Safi sana kwa FIFA maana bila wao kuwapa nafasi wachezaji isingekuwa poa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kwa upande wangu naona itakuwa imekaa vizuri Sana

    Jibu

    Safi sanaa maana wachezaji wengi watampata nafasi ya kucheza Mara kwa mara

    Jibu

    ni swala muda kabla halijaingizwa kwenye sheria rasmi

    Jibu

    Tuna shukuru sana FIFA kujua thamani ya wachezaji

    Jibu

    Ingawa lengo lilikuwa kulinda wachezaji wasiumie wakati huu wa Corona lakini ningependa iendelee hata baada ya hapo#meridianbettz

    Jibu

    Ikiwa indelevu sawa tu akijaalibika kitu,ni sawa dula kuitwa Abdala

    Jibu

    ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Itakuwa vizuri

    Jibu

    Utaratibu mzur

    Jibu

    asante #meridianbet kwa update za michezo

    Jibu

    Hii sheria ingekua parmanent ingekaa poa Sana.

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Ni safi sana fifa

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Haya sie yetu macho#Meridianbettz

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.