Nyumbani Football EURO 2016

EURO 2016

Bibiana Mwanamke wa Kwanza Kuchezesha Bundesliga

17
Leslie Feinberg alikuWa mwandishi mkubwa sana nchini Marekani, licha ya kuwa na maumbile ya kike lakini alipenda sana kuwa mwanaume, hivyo ikambidi aishi katika desturi za kiume (Tom boy). Binti huyu aliandika article nyingi sana ikiwemo ya kuhusu Gender...

Thomas N’Kono na Mkono wa Gianluigi Buffon

16
Juni 8, 1990 kwenye dimba la San Sirro mjini Milan Italia, dunia ilishuhudia moja ya maajabu makubwa ya soka yakitokea. Hiyo ilikuwa siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia ambapo mabingwa watetezi, Argentina, walikutana na Cameroon. Argentina wakiwa na mtu...

Siku ya Mwisho ya Franseco Totti Pale Stadio Olimpico

16
Ni usiku wa May 28 2017, muamuzi ametoka tu kupuliza kipenga chake kuumaliza mchezo wa Roma dhidi ya Genoa. Ushindi wa 3-2 wala haujawapa furaha mashabiki wa Roma. Leo shujaa wao Franseco Totti alikuwa anacheza kwa mara ya mwisho. Mzee...

Mbappe: Mama Akikubali Mbona Fresh

15
Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 21, amedokeza kuwa nafasi ya yeye kuondoka Paris St-Germain itategemea ridhaa ya wazazi wake. (Copa 90, via Sun on Sunday) Hayo yamejiri baada ya Mfaransa huyo kuhusishwa na kutimkia moja kati ya klabu hizi Liverpool...

Erling Haaland kwenye Kivuli cha Ronaldo De Lima

13
Sababu kubwa na nzito iliyowafanya PSV wamsajili Ronaldo De Lima baada ya World Cup ya Marekani 1994, ni kasi yake. Walijua mabeki Uholanzi na Ulaya nzima hawakuwahi kukutana na mshambuliaji wa kati mwenye kasi kama ya De Lima, hivo hawakuwa...
Diego Maradona

Neno la Mwisho la Maradona kabla ya Kufariki

18
Mastaa wengi duniani wameendelea kutoa pole kutokana na kifo cha Diego Maradona amefariki akiwa na umri wa miaka 60, siku za mwisho alifanyiwa upasuaji wa ubongo akiwa anaedelea vizuri na kuruhusiwa kutoka hospitali. Miongoni mwa mastaa ambao wametoa kauli kuhusu...

Italy Imeingia Kwenye 10 Bora Baada ya Miaka Minne.

16
Timu ya taifa ya Italy (The Azzurri) ni mabingwa mara nne wa kombe la Dunia lakini mara ya mwisho kuwepo kwenye viwango vya juu FIFA ilikuwa ni Agosti 2016. Walishindwa kufuzu kushiriki World Cup mwaka 2018 wakati wa utawala wa...

Hazard Afunga Goli Lake la Kwanza Champions League

17
Eden Hazard ingizo jipya ndani ya Real Madrid amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Klabu ya Chelsea. Hazard alifunga bao hilo kwa mkwaju wa penalti dakika ya 7 huku...

FIFA Yatoa Majina ya Wanaowania Mchezaji Bora Duniani 2020

17
Shirikisho la soka Ulimenguni FIFA limetoa orodha ya wanasoka 11 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2020, Tuzo hiyo itatolewa Disemba 17, 2020 sambamba na tuzo ya kocha bora, wa kike na wakiume, golikipa bora na goli bora la...

Koeman Atamba Ligi ya Bingwa Bila Messi

15
Ronald Koeman kocha mkuu wa FC Barcelona akiwa ugenini ndani ya jiji la Kiev nchini Ukraine na kikosi cha FC Barcelona bila uwepo wa mshambuliaji wake nguli Lionel Messi, ameweza kupata ushindi wa goli 0-4 . Mapema kabla ya kuondoka...

MOST COMMENTED

“Mbappe na Neymar ni Wachezaji Wazuri Zaidi Duniani.”

38
“Ukiacha Messi na Ronaldo, Mbappe na Neymar ni Wachezaji Wazuri Zaidi Duniani.” Mara baada ya kuisaidia PSG kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara...

HOT NEWS