Shirikisho la soka Ulimenguni FIFA limetoa orodha ya wanasoka 11 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia 2020,

Tuzo hiyo itatolewa Disemba 17, 2020 sambamba na tuzo ya kocha bora, wa kike na wakiume, golikipa bora na goli bora la mwaka.

Katika Orodha hiyo mabingwa wa England klabu ya Liverpool imeongoza kwa kutoa wachezaji wengi kwenye orodha hiyo imetoa wachechezaji 4, ambao ni Thiago Alcântara , Sadio Mané, Mohamed Salah, na Virgil van Dijk.

FIFA, FIFA Yatoa Majina ya Wanaowania Mchezaji Bora Duniani 2020, Meridianbet

Wachezaji wengine wanao wania tuzo hiyo ni Cristiano Ronaldo, Kevin De Bruyne, Robert Lewandowski, Kylian Mbappé, Lionel Messi, Neymar, na Sergio Ramos .

Mwaka jana 2019 tuzo hii alishinda mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi.

FIFA, FIFA Yatoa Majina ya Wanaowania Mchezaji Bora Duniani 2020, Meridianbet

Wanao wania tuzo ya Kocha bora ni.
Marcelo Bielsa wa Leeds United FC, Hans- Flick wa FC Bayern München, Jürgen Klopp Liverpool FC, Julen Lopetegui wa Sevilla FC na Zinedine Zidane waReal Madrid CF.

FIFA, FIFA Yatoa Majina ya Wanaowania Mchezaji Bora Duniani 2020, Meridianbet


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa