Makala nyingine

Ujerumani Itarudi Tena

Walikuwa juu sana kwenye soka la dunia 1996 wanabeba EURO pale Wembley kwa kumfunga Jamhuri ya Czech, kisha 1997 Borussia Dortmund anaenda kubeba UEFA, 2002 wanacheza fainali kombe la dunia …

Mchezaji wa zamani wa Argertina, Diego Maradona, ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea pombe. Nyota huyo ambaye anakumbukwa kwa kufunga bao la …

Jina lake halisi ni Marcos Evangelista de Morais. Cafu ni kifupisho cha Cafuringa, jina la nyota wa zamani wa Brazil ambaye alifananishwa naye. Utotoni alikataliwa na vilabu vya Corinthians, Palmeiras, …

Timu ya Taifa Stars ya Tanzania leo imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo wa leo ambao mgeni rasmi …

1 2