Makala nyingine

Mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 21, amedokeza kuwa nafasi ya yeye kuondoka Paris St-Germain itategemea ridhaa ya wazazi wake. (Copa 90, via Sun on Sunday) Hayo yamejiri baada ya Mfaransa …

Ujerumani Itarudi Tena

Walikuwa juu sana kwenye soka la dunia 1996 wanabeba EURO pale Wembley kwa kumfunga Jamhuri ya Czech, kisha 1997 Borussia Dortmund anaenda kubeba UEFA, 2002 wanacheza fainali kombe la dunia …

Jina lake halisi ni Marcos Evangelista de Morais. Cafu ni kifupisho cha Cafuringa, jina la nyota wa zamani wa Brazil ambaye alifananishwa naye. Utotoni alikataliwa na vilabu vya Corinthians, Palmeiras, …

Infantino Aisifu Qatar

Raisi wa Shirikisho la soka Duniani (FIFA) Gianni Infantino jumatano ya wiki hii alifanya ziara nchini Qatar kujionea maandalizi ya kombe la Dunia mwaka 2022 ambayo yatafanyikia nchini humo. “Kama …

Mataifa ya Uhispania na Ureno yameingia mkataba maalumu wa kuunda muungano wa kujipigia chapuo kuandaa michuano ya kombe la dunia (FIFA WORLD CUP) mwaka 2030. Awali katika muungano huo pia …

Kocha mkuu wa Barcelona, Ronaldo Koeman huenda anaweza kuikosa huduma ya nyota wake Lionel Messi raia wa Argentina kwenye mechi tatu za La Liga ikiwa nyota atakwenda kwenye majukumu ya …

1 2