Mataifa ya Uhispania na Ureno yameingia mkataba maalumu wa kuunda muungano wa kujipigia chapuo kuandaa michuano ya kombe la dunia (FIFA WORLD CUP) mwaka 2030.
Awali katika muungano huo pia walikuwepo Morocco kutoka Afrika lakini Raisi wa Shirikisho la soka barani Ulaya, Aleksander Ceferin alipinga uwepo wa Morocco kwakuwa ipo bara tofauti na Ulaya.
“Siafiki kombe la Dunia kufanyika katika mabara mawili tofauti. Tuingie katika kampeni hizi kama Ulaya na Afrika nao wataingia kama wao ili kuweka rekodi sahihi za mabara yetu kuandaa michuano hii adhimu duniani”
Serikali ya Morocco imesema hilo haliwakatishi tamaa kuitafuta nafasi hiyo ya kuandaa michuano hiyo wao kama wao.
“Wenzetu Afrika kusini waliweza mwaka 2010 pia nasi tunaweza kuirudisha michuano hiyo Afrika endapo tutapata fursa hiyo” – Alisema Waziri Mkuu wa nchi hiyo
Ukiwaondoa Morocco na umoja wa Uhispania na Ureno katika kampeni hizo , pia taifa la Uingereza lipo katika kinyang’anyiro hicho cha kuandaa michuano ya Kombe la Dunia 2030.
Wagombea wengine ni kutoka Amerika ya kusini mataifa ya Argentina, Paraguay , Uruguay na Chile ambao pia wanataka kuandaa michuano hiyo kwa pamoja.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!
aisha
Uhispania na ureno kama watafanikiwa itakua vizuri zaidi
Janeflora malisa
Safi
Rose kapinga
Kila la kher
Mwanahamisi
Nice
Zeiyana
Kama utakamilika huo muhungano Morocco hutawafaa sana
Shani
Morocco ni bado sana miundombinu haijawa poa
Lydia Emmanuel Magoti
Kila la kheri kwenye michuano hiyo hitayo lejea badae
Ester mmakasa
Jamani wangewakubalia Morocco tungeona vipaji .
Caroline
Wajitaidi next tym
Antony Luseno
Sijajua kigezo kipi kinaangaliwa ila kama iliwezekana 2010 , pia itawezekana endapo wakipewa nafasi
Tatu
Bora waungane tu wapate wanachokitaka
Adelta
Hapo kazi ipo
Mwajumah
Muungano kama hutakamilika morocco hutawafaa sana
Hidaya
Umoja ni nguvu
Fatina
Safii
Povel
Kila la kheri Kama muunganiko huo hutafikiah tamati
Issa
Moroco ni safi pia wajitahid kuboresha viwanja na miundombinu
Angelina
Kila kheri
felister
safi
lombo
duuh
Ernest
Mdogo mdogo tutafika tuu
Amiri Kayera
Dah Africa nao tunagundu
Nasra
Jitihada ni kitu cha msingi zaidi
Fatuma kasomo
Safi
Saupha mohamed
Duuuu
Sabrina
Duuh hatari.
Genia Sikaluzwe
Nice
magdalena
duh sasa apo kazi ishakuwa nzito sana kwa morocco
Elika
Safi
Salma ngende
Kazi nzito
Rehema
Kazi ipo
Gabriel
Morocco ni bado sana
Khadija
Safi
warda
pole yao sana