7:0 Liverpool vs Man U ni Maana Halisi ya Mdomo Huponza Kichwa

Wakati dunia ya wanasoka ikicheka na kudhihaki matokeo ya Manchester United katika mchezo wao wa jana dhidi ya Liverpool, Mimi naona mdomo ndio uliwaponza mashabiki wa Manchester. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

Imekua kawaida sana kwa mashabiki wa timu nyingi sana za Ulaya kua na uhasimu wa wazi hususan vinapokutana vilabu vyenye upinzani wa muda mrefu, Hilo tumeliona jana kwa Liverpool dhidi ya Manchester United.

7-0 Liver vs Man U Ni matokeo mabaya zaidi kwa Manchester United sio tu kwa mashabiki bali hata kwa kocha wa timu hiyo Erick Ten Hag, Katika mahijiano yake na wana habari baada ya mchezo huo Ten alisema. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

” Ni perfomance ya hovyo kabisa na haifai kupoteza 7-0 Liver vs Man U , Ilipaswa tufanye kazi yetu na hatukufanya , Na kuhusu mashabiki waliosafiri hadi Anfield kutupa sapoti, hatuna budi kuwashukuru, na siwezi kuwalaumu kwa kuondoka kwasababu ulikua mchezo mbaya sana , Naona aibu sana kwa mashabiki”

Acha ujumbe