Makala nyingine

Meneja mpya wa Aston Villa, Unai Emery alisisitiza kwamba lazima achukue kazi hiyo. Kocha huyo wa zamani wa Arsenal ataanza kazi rasmi Villa Park Novemba 1, mara baada ya kukamilisha …

Klabu ya Wrexham inayomilikiwa na Mastaa wa Hollywood Rob McElhenney na Ryan Reynolds imempiga marufuku mshambuliaji wao nyota Paul Mullin kuvaa jozi ya viatu vya mpira vilivyotengenezewa na kampuni moja …

Haaland Arudi Dortmund

Tangu aondoke Borussia Dortmund na kujiunga na Manchester City msimu wa joto, kusema Erling Haaland ameingia kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu itakuwa ni jambo la kawaida. Hatimaye …

Ebuana eeh kivumbi cha UCL wiki hii kitaendelea tena, ule usiku wa mabingwa mpira utatembea wakati huo huo Meridianbet wakiwa wamejipanga kwa Odds kubwa zaidi na machaguo zaidi 1000, mchanganuo …

MKUU wa Idara ya Maudhui ya Kidigitali wa Klabu ya Yanga SC Priva Abiud Shayo Maarufu kama Privadinho, amewataka mashabiki, wapenzi na wanachama wa klabu hiyo kupuuza taarifa zinazosambaa mitandaoni …

AGUERO: Sheria kali za Pep Guardiola kuhusu utimamu wa mwili mara moja zilimfanya Sergio Aguero kuchukuliwa kuwa ‘mnene’ sana kuichezea Manchester City. Mshambuliaji huyo wa zamani wa City alijadili wakati …

Fernando Alonso alikuwa na bahati ya kuepuka majeraha makubwa baada ya kuhusika katika ajali kubwa iliyoshuhudia gari lake likirushwa hewani kwenye mashindano ya United States Grand Prix siku ya Jumapili. …

MCHEZAJI wa Simba Agustine Okrah ambaye ni raia wa Ghana, ametumia mtandao wake wa kijamii kufafanua suala la yeye kushindwa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ya watani wa …

SHINDA: Ebuana eeeh ule mzigo umeshafika kwao, na huu sio wa mwingine ni kwaajili yako kabisa unakusubiri wewe tu. Meridianbet mabingwa wa hizi kazi hapa Tanzania wamekuja na kitu kipya …

Inaripotiwa kuwa klabu ya Liverpool wanaongoza katika kinyang’anyiro cha kuwania saini ya kinda Borussia Dortmund Youssoufa Moukoko ambaye ni raia wa Ujerumani na ana miaka 18 mpaka sasa.   Mshambuliaji …

1 2 3 4 135 136 137