Michezo ni miongoni mwa biashara kubwa na nzito sana ambayo wenye uelewa na akili juu ya biashara hiyo na aina ya uwekezaji unaofanywa hapo anaweza kuona kama mambo yanayofanyika ni …
Makala nyingine
Rais wa klabu ya matajiri wa jiji la Ufaransa, Nasser Al-Khelaifi yupo katika kashfa nzito ya kujihusisha na manbo ya matumizi ya fedha nyingi kutaka kununua mashindano ya riadha mwaka …
2019 imekuwa ya kipekee sana kwa mashabiki wa WWE duniani kote huku yakishuhudiwa mapambano makubwa na ya aina yake. Mbali na mashindano hayo kuendelea pia, suala la nyota wanaoshiriki mchezo …
Kama ilivyo michezo yoyote ile duniani huwa na kanuni ambazo huongoza mashindano husika na pale unapotokea uvunjwaji wa kanuni hizo zilizowekwa basi hatua kali hutumika ili kurejesha heshima pale ilipoonekana …
Wahenga husema wakati ni ukuta ukipingana nao utaumia bure. Ule wakati wa kushuhudia michuano ya mpira wa wavu inayojulikana kama International Volleyball Federation inayoangaliwa kuanza kuchana nyavu hapo kesho huku …
HII ni sehemu ya kukusanya nguvu ya pamoja na kuangalia namna ya kujiendesha wenyewe na wakaweza kutengeneza pesa ya aina yake kupitia kundi hilo. Wakati linaingia sokoni hakuna hata mmoja …
Katika mchezo wa soka kuna umaarufu wa aina mbili ambao lazima uwepo na huwa ni kitu cha kawaida sana kuwepo kwani ni jambo ambalo halizuiliki kabisa. Umaarufu huu upo ule …
IMEKUWA ni nafasi kubwa sana kumuona mwanamieleka huyo akifanya makubwa sana katika ulingo akiwa na kikosi chake chini ya kampuni kubwa la Vince McMahon lililokuwa linamuongoza kwenye harakati zake. Ameamua …
Bingwa wa ngumi za uzani wa juu Deontay Wilder alitamba kuwa anapenda mchezo wake kwa kuwa ni mchezo ambao unaweza ukaua mtu na ukalipwa kwa kufanya hivyo akidai akisisitiza kuwa …
Wiki kadhaa zilizopita kuna mambo yamekuwa yakizungumzwa ndani ya WWE kuhusu baadhi ya nyota wakiwemo Sasha Banks, Luke Harper, The Revival, Rusev, Anderson na Gallows ambayo yanawaweka kwenye wakati mgumu …
WWE wamepanga kupeleka mashindano yao huko nchi za Uarabuni, Saudi Arabia ambapo imepangwa kwamba mashindano hayo yatachukua nafasi mapema Julai, 7. Sio mara ya kwanza kwa shirikisho hilo kupeleka mashindano …
Ili timu iweze kuwa imara huhitaji wachezaji bora na wenye weledi wa kuzuia timu yao isiweze kufungwa mara kwa mara. Uwepo wa wachezaji wa aina hii ni kiini cha kuwepo …
Kwa miaka mingi Tiger Woods amekuwa akifahamika kama miongoni mwa nyota wa uwezo wa juu kabisa kwenye gofu. Uwezo wake, umakini na uimara wake kwenye kitengo hicho hupewa heshima sana. …
WrestleMania 35 kwa sasa ipo kwenye hatua zake za mwanzo kabisa ikiwa wengi wanasubiri kushuhudia mashindano yenye heshima kubwa na ushindani mkubwa sana. Ndani ya mashindano hayo wakongwe wengi wanajiandaa …
Amekuwa akisumbua kwa kipindi kirefu kutokana na kuvunja historia nyingi sana kupitia mbio za magari. Wapinzani wake wamekuwa wakiogopa hata wanapokutana naye barabarani kwani ana uzoefu uliopitiliza kwenye mbio hizo …
Michezo ni miongoni mwa biashara kubwa na nzito sana ambayo wenye uelewa na akili juu ya biashara hiyo na aina ya uwekezaji unaofanywa hapo anaweza kuona kama mambo yanayofanyika ni …