Simbu Apandishwa Cheo JWTZ Baada ya Ushindi Tokyo

Mwanariadha mahiri wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, ameandika historia mara mbili ndani ya wiki moja, kwanza kwa kutwaa medali ya dhahabu katika Mashindano ya Dunia ya Riadha jijini Tokyo, Japan, na pili kwa kupandishwa cheo jeshini kutoka Sajini hadi Sajini Taji (Staff Sergeant) ndani ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Simbu Apandishwa Cheo JWTZ Baada ya Ushindi Tokyo

Cheo hicho kipya kilitolewa rasmi na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda, katika hafla maalum iliyofanyika Septemba 25, 2025, makao makuu ya jeshi Upanga, Dar es Salaam. Jenerali Mkunda alisifu nidhamu, uzalendo, na bidii ya Simbu, akisema ushindi wake si wa mtu binafsi tu bali ni fahari kwa taifa zima na bara la Afrika.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Simbu Apandishwa Cheo JWTZ Baada ya Ushindi Tokyo

Katika mbio za marathon zenye urefu wa kilomita 42.195, Simbu aling’ara kwa kutumia mbinu ya kasi ya mwisho (dip finish), akimshinda Amanal Petros wa Ujerumani kwa tofauti ya sekunde 0.03 tu, rekodi ya ushindi mwembamba zaidi katika historia ya mashindano ya dunia ya marathon. Wote walimaliza kwa muda wa saa 2:09:48, huku Iliass Aouani wa Italia akichukua medali ya shaba kwa saa 2:09:532.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.