Oscar Mirambo Ateuliwa Bosi Mpya Tff

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua rasmi Oscar Mirambo kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa shirikisho hilo kuanzia Oktoba 1, 2025.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Mario Ndimbo, uteuzi huo unakuja kufuatia kumalizika kwa mkataba wa aliyekuwa Katibu Mkuu, Kidao Wilfred, ambao unahitimishwa tarehe 30 Septemba 2025.

Oscar Mirambo Ateuliwa Bosi Mpya Tff

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Mirambo, ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, ataingia rasmi kwenye majukumu yake mapya mara tu mkataba wa Kidao utakapomalizika na atasimamia shughuli zote za kila siku za Sekretarieti ya TFF hadi pale Kamati ya Utendaji ya TFF itakapotoa uamuzi mwingine kuhusu nafasi hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.