Monday, August 1, 2022
Nyumbani Boxing

Boxing

Ryan Garcia Aendeleza Rekodi ya Kutopigwa

Ryan Garcia Aendeleza Rekodi ya Kutopigwa

0
Bondia Ryan Garcia alipigana vyema dhidi ya mpinzani bora zaidi siku ya Jumamosi kwa kumpiga kwa KO Javier Fortuna katika raundi ya sita kwenye pambano la pauni 140 mjini Los Angeles. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 alimlambisha mchanga...
Fortuna Apania Kumchapa kwa KO Ryan Garcia

Fortuna Apania Kumchapa kwa KO Ryan Garcia

0
Bondia Javier Fortuna amelezea kiu yake ya kutaka kumlambisha sakafu bondia machachari Ryan Garcia katika pambano lao lijalo ambalo limepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika ukumbi wa Crypto.com Arena huko Los Angeles. Mwanamasumbwi huyo wa Kidomikana anaonyesha hataki kabisa kumuacha...
Bivol Lazima Azichape na Gilberto Ramirez Kutetea Mkanda

Bivol Lazima Azichape na Gilberto Ramirez Kutetea Mkanda

0
Bingwa wa mkanda wa Super light Heavyweight Dmitry Bivol analazimika kupigana na Gilberto " Zurdo" Ramirez ili kutetea taji hilo ilitangazwa na chama cha ndondi (WBA) WBA imewapo mabondia wote muda wa siku 30 kukubaliana dili hiyo na endapo ikatokea...
Tyson Amtaja Mpinzani Wake Mgumu Kuliko Wote

Tyson Amtaja Mpinzani Wake Mgumu Kuliko Wote

0
Bondia wa zamani Mike Tyson ametaja mapambano yake magumu na alimtaja bondia Andrew Golota kama mpinzani mgumu kabisa kukutana naye wakati wa enzi zake. Akishida taji lake la kwanza akiwa na umri wa miaka 20 na miezi minne na siku...
UFC: Conor McGregor Kurejea Ulingoni Mapema Mwaka Ujao

UFC: Conor McGregor Kurejea Ulingoni Mapema Mwaka Ujao

0
Bondia wa mchezo wa UFC Conor McGregor ataendelea kuuguza jeraha la mguiu wake wa kushoto alilopata mwezi Julai mwaka jana wakati wa pambano la marudiano ya tatu na Dustin Poirier ambapo McGregor alipoteza kwa KO. Kwa mujibu wa maripota wa...

De la Hoya Anaamini Garcia Atamzidi Canelo kwa Ukubwa

0
Oscar De la Hoya alifunguka siku ya Ijumaa kwamba bondia Ryan Garcia atampita Canelo Saul Alvarez kwa ukubwa siku za badaye. Uhusiano wa De la Hoya uliingia dosari tangu wawili hao waache kufanya kazi pamoja hivyo Hoya kutomuongelea vizuri Canelo...
Simiso Buthelezi

Simiso Buthelezi Afariki Dunia Siku Mbili Baada ya Pambano

0
Mwanamasumbwi wa Afrika ya Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 24 siku mbili baada ya kuonekana akiwa anapiga ngumi hewani kwenye pambano lililofanyika siku ya jumapili. Simiso Buthelezi kwenye raoundi ya mwisho alikuwa anaonekana kumzidi mpinzani...
Inoue "Monster" Amkalisha Donaire Raundi ya Pili

Inoue “Monster” Amkalisha Donaire Raundi ya Pili

0
Naoya Inoue bondia wa Japan ambaye shughuli yake ulingoni si ndogo amechapa kwa KO katika raundi ya pili bondia mtata Nonito Donaire kwenye ukumbi wa Saitama Super Arena siku ya Jumanne Juni 7. Baada ya kumdondoshea konde la mkono wa...
Gervonta Davis Amkalisha Romero Raundi ya 6

Gervonta Davis Amkalisha Romero Raundi ya 6

0
Gervonta Davis ametetea taji la dunia la uzani mwepesi (WBA) kwa kumdunda Rolando Romero kwa KO ya kifundi katika raundi sita pambano lililofanyika kwenye Kituo cha Barcleys huko Brooklyn, New York. Gervonta alikuwa akitumia akili sana,hakutaka kumshambulia Rolando bila kufikiria,...
Gervonta Davis Kuchapana na Romero Leo Usiku

Gervonta Davis Kuchapana na Romero Leo Usiku

0
Bingwa mara tano wa dunia Gervonta “Tank” Davis takuwa akitetea taji lake la WBA uzani mwepesi dhidi ya Rolando Romero siku ya leo Jumamosi. Bondia mtata Davis hajawahi kupoteza pambano, lakini Romero ambaye pia hajawahi kupoteza anataka kutetea heshima...

MOST COMMENTED

Klopp Analazimika Kubadili Mfumo?

18
Bosi wa Liverpool, Jurgen Klopp amelazimika kubadili mfumo katika mechi waliyoshinda bao 2-1 dhidi ya Sheffield United dimbani Anifield. Taarifa zinasema kuwa Klopp anaonekana kuwa...

HOT NEWS