Bondia wa Tanzania ambaye alijizolea umaarufu mkubwa kabisa kwa vituko vyake, na ucheshi wake Karim Mandonga amepoteza pambano lake la 3 mfululizo.
Pambano hilo lilikuwa likipigwa huko Visiwani Zanzibar katika viwanja vya Mao Tse Tung na Mandonga alipoteza kwa pointi pambano hilo katika raundi ya 06 licha ya kushangiliwa na watu wengi sana.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Pambano hilo halikuwa la ubingwa na bondia Othuman Kiluwa alishinda baada ya majaji kutoa pointi nyingi kwake kuliko Karim, huku akijinadi kuwa ngumi ambayo aliipeleka Zanzibar ilikuwa ikiitwa Kizimkazi.
Jana ndio siku rasmi ambayo mchezo wa ngumi visiwani Zanzibar uliruhusiwa baada ya kukutazwa kwa muda mrefu, hivyo wageni wengi walihudhuria na mgeni rasmi alikuwa ni Raisi wa wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Pia mabondia mbalimbali walikuwepo kama vile Hassan Mwakinyo na baadhi ya mabondia walifurahia ngumi kurejea visiwani hapo.