Twaha Kiduku Aomba Radhi, Mandonga Akalishwa kwa TKO

wellem, twaha kiduku
Bingwa WBF-Inter Continental Wellem kutoka Afrika Kusini, baada ya kumkalisha Twaha Kiduku kwa pointi.

Bingwa wa WBF Inter-continental ni Asemahle Wellem baada ya kumpiga Twaha Kiduku kwa pointi kufuatia uamuzi wa majaji wote watatu kumpa ushindi. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Bondia wa Ngumi za kulipwa Mtanzania Twaha Kiduku, usiku wa kuamkia leo amepoteza pambano lake dhidi ya Wellem kutoka Afrika kusini.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Mara baada ya pambano hilo lililoamuliwa na majaji wote na kumpa ushindi Muafrika ya Kusini huyo, Twaha Kiduku aliomba radhi kwa mashabiki zake na watanzania kwa ujumla.

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Twaha Khassim (@twaha_kiduku)

“Samahani kwa watanzania wenzangu na uongozi wangu haikuwa bahati yangu mara nyingi huwa nawafurahisha, asiyekubali kushindwa sio mpinzani jamaa kanizidi na kuonesha pambano zuri ila nimejifunza ni wapi nilikosea na nitalifanyia kazi na kuwafurahisha wapinzani wangu” Twaha Kiduku

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

 

mandonga

Pambano jingine lililovuta hisia kubwa za mashabiki wa ngumi ni kati ya Karim Mandonga na Moses Golola kutoka Uganda, ambapo Karim Mandongo alipoteza pambano kwa TKO raundi ya Tatu baada ya kupigwa ngumi ya kulia “Right hook” na kuanguka chini hali iliyomfanya mwamuzi wa pambano kumaliza mchezo.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

 

Acha ujumbe