Hassan Mwakinyo ameshinda kwa alama pambano lake dhidi ya Tshibangu Kayembe wa Congo, kwenye pambano la WBF intercontinental super welterweight

Mwakinyo ameandika rekodi ya kuwa na mapambano 19, ameshinda 17 na kupoteza mawili. Katika mapambano 16 aliyoshinda, 11 alishinda kwa Knock Out. Katika mawili aliyopoteza moja alipoteza kwa Knock Out.
Aidha, Tshibangu Kayembe ana jumla ya mapambano 13, ameshinda mapambano 9, na amepata suluhu 3, ameshindwa moja ambalo ni hili alilopigana na Mwakinyo.

Kwa pambano hili Hassan Mwakinyo anatangazwa kuwa bingwa wa WBF Intercontinental Super Welterweight.
Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.


warda
Hongera yake Mana Angepigwa Bongo angehama#Meridianbettz
Caroline
Mwakinyo oyeeee
Mariam mtandama
Makala mazur
Theckla
Lililikuwa bonge la pambano
Sylvester
Pongezi nyingi sana kwa Mwakinyo.Tanzania tupo nyuma sana kwenye masumbwi tujitahidi vijana wengi nao waingie kwenye mchezo huu tupate wakina Mwakinyo na kina Matumla wengi.
Sauda
Hongera Mwakinyo
Ernest
Mwakinyo sio mtu wa mchezo mchezo watanzania lazima tujivunie
aisha
Big up sana kaka mwakinyooo endelea kupeperusha bendera ya Tanzania lakini pia heshima kwa watu wa TANGA
Njiku
Tanga boy nyumba mganga nyuma bondia anakuja poa Sanaa ila asilewe sifa akazee
Mwajumah
Hongera sana mwakinyo anajua sana huyu jamaa ulijua kunifurahisha jana#Meridianbettz
Tatu
Hongera yake mwakinjo kwa kuipeperusha bendelea yetu
felister
big up mwakinyo
Dorophina
Ongera kwake mwakinyo maana mpambano ulikuwa noma maana umechezwa mda mrefu
Latifa juma mohamed
big up mwakinyo
Lydia Emmanuel Magoti
Ongera Sana Mwakinyo mapambano ulikuwa sio wakitoto ulizipiga Sana jembe upo vizuri
Sadick
Bado Hassan Mwakinyo anatakiwa kuimarisha uwezo wake, hachezi ngumi za kuvutia sana, anatakiwa kuendelea kuboresha kiwango chake#meridianbettz
Zeiyana
Hassani wakinyo ndio bondia hanaye tamba sana kwa uwezo wake alikua nao ukifuatalia mapambano yake yote ni bondia hanaye jituma sana akiwa ulingoni kwa uwezo wake halio nao akiendelea hivi hivi hana weza akawa mbadala ya wapambanaji walio pita hapo zamani matumla, Tyson ,nk
Shafii
Watanzania inapaswa tujipongeze kwa heshima aliotuletea mtanzania mwenzetu na pongezi za dhati ziende kwake.
Neema
Hongeraa sana mwakinyo
Fatina
Hongera yako mwakinyo
Janeflora malisa
Hngr zake mwakinyo
Nasra
Vzuri Sana
Rehema
Hongera sana mwakinyo
Issa
Mwakinyo anajitahidi kwenye boxing sana anaipeperusha bendera vyema
Khadija
hongera sana mwakinyo pambano la jana lilikuwa la haina yake
Povel
Congrat Best champion 🏆 🏆🏆🏆Mwakinyo HASSAN wbf
Mwanahamisi
Pongezi kwako mwakinyo
Adelta
Hongera Sana mwakinyo
@meridianbettz
Saupha mohamed
Hongera yake
Furahav
Gud boy
Hope mwaikuka
Gud to him japo huu mchezo hapana kwakwel
Revina
Hongera sana Mwakinyo watu wengi walikuwa wanakubeza ,nimeamini kweli shujaa hakubaliki kwao ,mmeona sasa
Gabriel
Kikuwel Hassan mwakinyo kwny pambano amejitahid sana na kaonyesha uwezo mkubwa sana 👍
Sabrina
Mwakinyo aminia baba uko vizuri
Devotha
Hongera yake mwakinyo
Salma ngende
Asante kwa kutuletea heshima tanzania
Ester jackson
Pongezi sana
Omary lukumbi
Pongez kwake mwakinyo
Venerose
Hongera sana
Rose kapinga
Pongezi kwako mwakinyo,umemkalisha jamaa bila kupenda!!!
Samiah
Mwakinyo umejua kunifurahisha
farida ahmadi
Safiiii Sana mwakinyo
David Pere
Pongezi nyingi sana kwa Mwakinyo.Tanzania tupo nyuma sana kwenye masumbwi tujitahidi vijana wengi nao waingie kwenye mchezo huu tupate wakina Mwakinyo wengine
magdalena
pamoja ya kuwa alikuwa anazidiwa nguvu na urefu pia na mpinzani wake lakini mwakinyo hakukata tamaa wala kuunjika moyo alijitahidi kwa hali na mali kuhakikisha anatetea ushindi wake mpaka kaupata pongezi nyingi sana mwakinyo
Shan
Pongezi kwa watanzania pongezi kwa mwakinyo.