MTANZANIA Anayekipiga Sauzi kwenye klabu ya Chippa Utd Baraka Majogoro amesema anatamani msimu huu kufanya vizuri na kuisadia timu hiyo kuchukua ubingwa baada ya kuukosa mwaka jana. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.
Kiungo huyo alisajiliwa na Chippa United Agosti 2023 alipita Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar za Tanzania zote zimeshuka daraja kwa misimu tofauti.
Baraka Majogoro alisema msimu uliopita ulikuwa bora kwa upande wake kwani alifanikiwa kucheza kubwa zaidi upendo alioonyeshwa na mashabiki lakini kwa klabu haikuwa hivyo.
Aliongeza, malengo ya Chippa ilikuwa kuchukua ubingwa ama kumaliza kwenye nafasi tatu za juu badala yake ikamaliza nafasi ya 12 kati ya timu 16.
Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi zinakaribia kuanza, usije kupishana na gari la Mshahara.
“Tunapambana kuhakikisha tunapata nafasi na kuendelea kuaminiwa na kocha kwa sasa tupo kwenye maandalizi ya msimu mpya na naamini msimu huu malengo ya kuchukua ubingwa yatatimia kutokana na kujiandaa mapema pamoja na usajili uliofanywa,” alisema Majogoro.
Kiungo huyo amecheza jumla ya mechi 18 za Ligi akitumika kwa dakika 1332 akiwa hajafunga bao lolote.
Ni kama ana kismati cha matokeo mazuri kwani anapocheza dakika nyingi timu hiyo huondoka na ushindi ama sare akionekana ni mchezaji mwenye msaada mkubwa klabuni hapo.
Mechi nyingine dhidi ya Mamelodi Sundown (45) ikipoteza 2-0, Ravens (56) ikishinda 2-1, Richard Bay (79) ikishinda 3-0, Stellenbosch (56) 1-1, Cape Town City (90) 1-1, Supersport (90) ikishinda 1-0, Richard Bays (90) ikishinda 2-1, Royal AM (90) ikifungwa 3-2 na Cape Town Spurs (90) ikishinda 1-0.
Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.