Warriors Wanaukaribia Ubingwa NBA 2022
Fainali ya NBA inazidi kunoga wakati huu ambao michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Golden State Warriors wanaukaribia ubingwa msimu huu.
Ushindi wa pointi 104-94, unawapa matokeo Warriors matokeo ya jumla 3-2 dhidi ya Boston Celtics na kuisogeza timu hiyo...
Mshindo Msola, Dira ya Uongozi Wake Ilivyo Ibadilisha Yanga
Wajerumani wnaa msemo wao maarufu sana unaosema “ Nur die Harten kommen in den Garten” ambao una maana “ wenye nguvu pekee ndio hushinda vita au kufika mwisho kishujaa “
Mshindo Msola aliichukua Yanga SC ikiwa hoi taabani kiuchumi na...
James Mchezaji wa Kwanza wa Kikapu Kuwa Bilionea
Staa wa NBA LeBron James mchezaji wa kwanza wa mpira wa kikapu ambaye bado anacheza kuwa bilionea hii ni kwa mujibu wa jarida maarufu Forbes.
Utajiri wa nyota huyo sasa ni zaidi ya dolla za kimarekani bilioni 1 ($1b) baada...
Celtics Watinga Fainali NBA
Baada ya miaka 12, Boston Celtics wamefanikiwa kutinga fainali ya NBA baada ya kuwamwaga Miami Heats.
Licha ya kupoteza michezo 2 ya mwanzo, Celtics walirejea mchezoni na kuipambania tiketi ya kucheza fainali ya NBA 2022. Mpaka wanaingia kwenye mchezo wa...
Jimmy Butler Apindua Meza NBA.
Ngoma ngumu kunako fainali ya Eastern Conference kwenye NBA. Jimmy Butler akataa utumwa mbele ya Boston Celtics.
Celtics waliingia uwanjani wakiwa wanaongoza kwa matokeo ya 3-2 baada ya michezo 5 kati ya 7. Ni ushindi 1 tu waliuhitaji ili kutwaa...
Warriors Bingwa Western Conference
Fainali ya NBA 2022 inanukia, timu ya kwanza imeshajulikana. Ni Golden State Warriors, mabingwa wa Western Conference 2022.
Warriors wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa fainali ya Western Conference baada ya kuwaburuza Dallas Mavericks. Matokeo ya pointi 120-110 yanaufanya mchezo huu kumalizika...
UEFA Conference League: Uchambuzi wa Vikosi Kati ya Roma vs Feyernoord
Mchezo wa leo wa fainali ya UEFA Conference League timu zote zimepanga kuanza na washambuliaji wake kwenye vikosi vyao vya kwanza huku wachezaji wote waliokuwa wanasemekana kukosa wamejumuishwa kwenye vikosi.
Roma imeazisha washambuliaji wake wote ambao ni Tammy Abraham, Nicolò...
Warriors Wapindua Meza California
Fainali ya Western Conference kunako NBA inaendelea kunoga kati ya Golden State Warriors na Dallas Mavericks. Vijana wa Kerr wanajambo lao msimu huu.
Baada ya kuwa na msimu mbaya mwaka jana, Warriors wamerejea kwa kishindo msimu huu. Steph Curry ameendelea...
Bucks Wavuliwa Ubingwa wa NBA.
Kama ambavyo LA Lakers walivyoshindwa kutetea ubingwa wa NBA msimu ulioisha, Milwaukee Bucks wamevuliwa rasmi ubingwa msimu huu.
Bucks walitwaa ubingwa wa NBA msimu ulioipita na wameendelea kufanya vizuri msimu huu ambao walikuwa wanautetea ubingwa wao. Mbio za sakafuni huishia...
Heats Watinga Nusu Fainali NBA 2022
Burudani ya mchezo wa kikapu inaendelea kunoga viwanjani, Miami Heats imejihakikishia kucheza nusu fainali kunako Eastern Conference.
Licha ya kuwakosa nyota wao ambao ni majeruhi kwa sasa, Heats wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali kunako NBA msimu huu baada ya...