Hashim Ibwe, katika mazungumzo na mwandishi wa Meridianbet Sport, Amekili kuwaheshimu KMC ,

“mimi sikua mchezaji kusema kwamba naweza kuingia uwanjani na kurekebisha kitu flani, KMC tumekua tukiwaheshimu toka mwanzo na timu yetu imepoteza kwenye mchezo ambao KMC wamekua bora zaidi kwenye mchezo, wametumia nafasi vizuri so timu yetu imepoteza mchezo na KMC imefahuru kwenye kushinda mchezo huu, Kubwa zaidi focus yetu ni kuelekea kwenye Mchezo wetu dhidi ya simu kwenye mchezo ujao,”
Hashim Ibwe pia aliulizwa kuhusu uwezo wa timu yake kwa kipindi cha kwanza.

Baada ya mchezo huu KMC wamekua nafasi ya 3 wakilingana pointi (13) na Simba na Yanga huku Azam wakiwa nafasi ya 6 kwa point 11, Timu zote mbili zinatarajiwa kukutana na timu kubwa za ligi, Wakati Azam wakikutana na Simba , KMC wanakutana na Yanga,
Kwa habari na matukio ya kimichezo na ya uhakika tembelea Youtube channel yetu Meridian Sport