NyumbaniAzam FC

Azam FC

HABARI ZAIDI

Azam FC Dhidi ya Simba ni Leo Oktoba 27.

0
Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa mchezo mwingine mmoja hii leo ambapo ni Dabi ya Mzizima inayowakutanisha Azam Fc dhidi ya Simba...

Azam Yamtimua Mfaransa

0
UONGOZI wa klabu ya Azam umeachana na Kocha Mkuu, Denis Lavagne raia wa Ufaransa kutokana na matokeo mabaya yaliyoiandama klabu hiyo hivi karibuni.Lavagne alianza...

Azam vs Simba Kupigwa kwa Mkapa

0
Mchezo wa ligi kuu Bara kati ya Azam dhidi ya Simba unaotarajiwa kupigwa Oktoba 27 mwaka huu sasa utapigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Azam...

Azam Yapeleka Mechi Yao Dhidi ya Simba kwa Mkapa.

0
Klabu ya Azam FC imetangaza kuwa mchezo wao dhidi ya Simba ambao ulitarajiwa kupigwa katika uwanja wa Chamazi Complex, tarehe 27 Oktoba, sasa utapigwa...

Serengeti Girls Wang’olewa Kishujaa Kombe la Dunia

0
TIMU ya Taifa ya Wasichana wa U17, Serengeti Girls imeyaaga mashindano ya kombe la dunia kishujaa baada ya kuchapwa mabao 3-0 mbele ya Colombia...

Azam Fc Mbioni Kumtimua Lavagne.

0
Klabu ya Azam Fc ipo mbioni kumtimua kocha wake mkuu Dennis Lavagne raia wa Ufaransa baada ya kupata matokeo ya kutoridhisha hivi karibuni na...

Hashim Ibwe: KMC Walitumia Nafasi, Hongera kwa Ushindi, 2:1

0
Hashim Ibwe, katika mazungumzo na mwandishi wa Meridianbet Sport, Amekili kuwaheshimu KMC ,"mimi sikua mchezaji kusema kwamba naweza kuingia uwanjani na kurekebisha kitu flani,...

Sopu Asumbuliwa na Majeraha ya Misuli.

0
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Khamis Suleiman Sopu atafanyiwa vipimo kutaoka na majeraha yanayomkabili msjambuliaji huyo siku za hivi karibuni.Sopu ambaye taarifa kutoka...

Watanzania Wameiteka Dunia Kwa Sarakasi, Wapewa Golden Baszler

0
Watanzania Ibrahim Ramadhan na Fadi Ramadhan almaarufu Ramadhan Brothers, waliong'ara katika mashindano ya Australia’s Got Talent yaliyofanyika usiku wa Jumapili, Oktoba 16, 2022, wamefunguka...

Mechi Kmc Dhidi ya Azam Yarudishwa Nyuma.

0
Mchezo dhidi ya klabu ya Kmc na klabu ya Azam Fc uliopangwa kuchezwa tarehe 22 mwezi huu ambao ilikua upigwe siku ya Jumamosi sasa...