KIKOSI cha Azam tayari kimewasili Jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa kesho ijumaa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

azamAzam baada ya kucheza mechi nne tayari wamefanikiwa kukusanya pointi nane huku wakiwa nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.

Akizungumza baada ya kuwasili Jijini Mbeya, Ofisa Habari wa Azam, Thabit Zakaria ‘Zaka zakazi’ amesema kuwa “Kwanza tunashukuru tumefika salama hapa Mbeya kwa ajili ya mchezo wetu wa kesho.

azam“Tumesafiri na jumla ya wachezaji 20 ambao wapo fiti na wanaweza kuipambania nembo ya klabu katika kuhakikisha tunaibuka na ushindi kwenye mchezo huo.

“Acha tuone mchezo utakuwaje lakini naa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa