Yanga Sherehe Kuanzia Mbeya
Klabu ya Yanga inatarajia kukabidhiwa ubingwa wake hapo kesho jijini Mbeya kwenye mchezo wake dhidi ya Mbeya City kwenye dimba la Sokoine.
Kabla sherehe hazijahamia jijini Dar es salaam ambapo wamepanga kutembea na gari la wazi ili kusherekea pamoja na...
FIFA Yatembeza Rungu kwa Geita Gold FC
Klabu ya Geita Gold FC inayoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League imekumbana na rungu la shirikisho soka duniani FIFA kwa kuzuiwa kufanya usajiri mpaka pale watakapomlipa stahiki zake aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Ettiene Ndayiragije.
Ettiene Ndayiragije aliipeleka klabu...
Yanga Kumaliza Ligi Pasipo Kufungwa?
Klabu ya Yanga ndio klabu pekee mpaka sasa ambayo inashiriki ligi kuu ya NBC Premier League ambayo haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi baada ya kucheza michezo 28 mpaka sasa.
Yanga leo ameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga Polisi Tanzani...
Biashara United Yapata Rungu La FIFA
Klabu ya Biashara United inayoshiriki ligi kuu ya NBC Premier League imefungiwa kufanya usajiri kwa muda wa miaka miawili baada ya kukaidi maamuzi ya shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA la kumlipa stahiki zake mchezaji wake Timoth Balton...
Simba Kuwashukuru Mashabiki Wake
Klabu ya Simba sports Club inayoshiriki ligi kuu ya nchini Tanzania NBC Premier League imepanga kuwashukuru mashabiki wake kwenye mchezo wake wa mwisho dhidi ya Mtibwa Sugar FC.
Simba inakwenda kucheza mchezo wake wa mwisho kwenye uwanja wake wa nyumbani,...
Yanga Kumpitisha Eng Hersi Kunatengeneza Maswali ya Sintofahamu?
Klabu ya Yanga imetoa majina ya wagombea nafasi mbali mbali za uongozi wa klabu hiyo huku nafasi ya rais ikiwa na jina moja huku nafasi ya makamu kukiwa na majina mawili na wajumbe wa kamati kuu kukiwa na majina...
Simba Yaanza Kupitisha Bakuli!
Klabu kubwa nchini Tanzania Simba Sports Club imeanza kampeni ya kuwataka wanachama wake kuanza kuichangia klabu hiyo na kuipa jina kampeni hiyo "NANI ZAIDI? CHANGIA SIMBA"
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa nndani ya klabu ya Simba kuna mpasuko wa...
Bernard Morrison Ameshatafutiwa Mrithi Wake Simba
Bernard Morrison safari imewadia , Uongozi wa Simba wamekamilisha kwa hatua kubwa usajili wa mshambuliaji Moses Phiri raia wa Zambia ambaye anajiunga na Simba msimu ujao akitokea Zanaco ya nchini kwao.
Inaelezwa kwamba, Phiri atakuwa mchezaji wa kwanza kutua...