Ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu ambao unawakutanisha kati ya Geita Gold dhidi ya Ihefu majira ya saa 8:00 mchana.
Mechi hiyo itapigwa katika dimba la Nyankumbu huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu mwenyeji kwa ODDS 2.60 kwa 2.69 huku kukiwa na machaguo zaidi ya 1000 ndani yake.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
Geita yupo nafasi ya 13 baada ya kucheza michezo 15 kwenye ligi, akishinda mechi zake nne, sare nne na kupoteza michezo saba hadi sasa na kukusanya pointi 16 baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo.
Huku kwa upande wa Ihefu yeye yupo nafasi ya 12 kwenye msimamo baada ya kushinda mechi zake nne, sare nne, na kupoteza mara nne na kukusanya pointi 16.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Timu hizi zina pointi sawa, kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa tuu. Je leo hii nani ataondoka na pointi tatu, huku mara ya mwisho kukutana Wachimba madini walishinda.