Azam FC Ugenini Leo Dhidi ya Tabora United

Mechi nyingine ya ligi kuu ni ya mgeni Azam FC ambaye atakiwasha dhidi ya Tabora United ambaye yupo nafasi ya 14 kwenye msimamo huku akiwa na mwendelezo mbaya wa matokeo huku kwenye mechi 5 za mwisho hajapata ushindi.

 

Azam FC Ugenini Leo Dhidi ya Tabora United

Mechi hiyo itapigwa saa 10:00 jioni huku Azam FC wakiwa wameshinda mechi zao 4 kwenye zile tano za mwisho mpaka sasa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Wanalamba lamba wapo nafasi ya 3 akiwa ameshinda mechi 11, sare mbili na kupoteza mara mbili kwenye michezo 15 ambayo kacheza na kufanikiwa kukusanya pointi zake 35 hadi sasa kwenye ligi.

Wakati kwa upande wa Tabora wao wana pointi zao 16 baada ya kushinda mechi zake 3, sare tano na kupoteza michezo saba hadi sasa.

Azam FC Ugenini Leo Dhidi ya Tabora United

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Mara ya mwisho walipokutana, Azam aliondoka na ushindi mnono kabisa. Je leo hii Tabora atalipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 6.46 kwa 1.40. Tengeneza jamvi lako hapa sasa na meridianbet.

Acha ujumbe