Mashujaa Uso kwa Uso Dhidi ya Coastal Union

Mechi nyingine ya Ligi kuu ya NBC ni hii hapa ya mwenyeji Mashujaa ambao watakuwa nyumbani kule Lake Tanganyika kuziwasha dhidi ya Coastal Union kutoka mkoani Tanga majira ya saa 10:00 jioni.

Mashujaa Uso kwa Uso Dhidi ya Coastal Union

Mashujaa wapo nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza mechi zao 21 wakishinda mechi zao tano, sare sita na kupoteza mara kumi mpaka sasa wakikusanya pointi zao 21 hadi sasa kwenye ligi.

Wakati kwa upande wa Wagosi wa Kaya wao wapo nafasi ya nne, wakishinda mechi zao nane, sare sita na kupoteza mara saba hadi sasa na kufanikiwa kukusanya pointi zao 30. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 pekee.

Mara ya mwisho kukutana timu hizi, Coastal alipata ushindi murua kabisa akiwa nyumbani kwake. Je leo hii Mashujaa wanaweza kulipa kisasi wakiwa nyumbani?

Mashujaa Uso kwa Uso Dhidi ya Coastal Union

Mechi hii imepewa ODDS 2.36 kwa 2.94. Tengeneza jamvi lako sasa na ubashiri na meridianbet mechi hii na nyingine nyingi ambazo zinachezwa leo.

 

Acha ujumbe