KMC Ugenini Leo Dhidi ya Tanzania Prisons

Ligi kuu ya NBC itaendelea hii kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu unaowakutanisha kati ya KMC dhidi ya Tz Prisons Wajelajela hawa kutoka kule Mbeya majira ya saa 8:00 mchana.

KMC Ugenini Leo Dhidi ya Tanzania Prisons

Mchezo huu utapigwa katika dimba la Sokoine huklu timu zote zikihitaji ushindi kwani zinafatana kwenye msimamo wa ligi, KMC ni wa sita na Prisons ni wa tano kinachowatofautisha ni magoli ya kufunga na kufungwa tuu.

Mechi iliyopita Wanakino Boys wametoka kupata ushindi baada ya kucheza mechi nyingi bila kupata alama tatu huku Prisons wao walitoa sare mchezo wao uliopita.

KMC kwenye mechi zake 21 alizocheza ameshinda mechi sita, sare kumi na kupoteza mara tano, huku mwenyeji wake kwenye mechi hizo alizocheza ameshinda mechi saba, sare saba na kupoteza mara saba hadi sasa.

KMC Ugenini Leo Dhidi ya Tanzania Prisons

Kwenye mechi tano za mwisho timu hizi kukutana, wametoa sare mechi nne, huku mechi moja Wanakino Boys wakishinda nayo ilikuwa ni msimu juzi. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.10 kwa 3.72. Bashiri mechi hii

Acha ujumbe