Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao utawakutanisha JKT Tanzania dhidi ya Namungo kutoka mkoani Lindi, majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Meja Jeneral Isamuhyo.
Mechi iliyopita JKT amepoteza mechi huku Namungo yeye akitoa sare pia mechi yake iliyopita huku meridianbet leo hii wakimpa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.32 kwa 3.14.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mwenyeji yupo nafasi ya 12 baada ya kucheza michezo 15 kwenye ligi, akishinda mechi zake nne, sare nne na kupoteza mara nne na kukusanya pointi 16 huku akipoteza mechi tatu mfululizo kwenye ligi.
Wakati Namungo wao wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wakishinda mechi zao nne, sare sita na kupoteza mara tano hadi sasa na kukusanya pointi zao 18 hadi sasa.
Mara ya mwisho timu hizi kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni kulipa kisasi?. Bashiri mechi hii na zingine pale meridianbet.