KICHUYA AINGIA RADA ZA JKT TANZANIA

Nyota wa zamani wa Simba, Mtibwa Sugar na Namungo Shiza Kichuya mkataba wake na klabu ya Namungo Fc umemalizika sasa yupo huru kwenda popote.

Na taarifa zinaeleza kuwa nyota Kichuya kwasasa anatajwa kuelekea katika klabu ya JKT Tanzania na APR kutokea pale nchini Rwanda.

Kwasasa kinacho subiriwa ni yeye chaguo lake ni wapi kubaki Tanzania au kwenda nchini Rwanda.

Ingawa timu zote zimeonesha nia ya kuitaka saini yake.

Acha ujumbe