YANGA KUTAFUTA FURAHA KWA DODOMA JIJI LEO

Baada ya kuambulia sare kwenye mchezo wao uliopita, uliochezwa dhidi ya Kagera Sugar Februari 2, 2024 mkoani Kagera, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga leo watakuwa na kibarua Cha kuwavaa Dodoma Jiji Azam Complex Chamazi.

 

YANGA KUTAFUTA FURAHA KWA DODOMA JIJI LEO
Yanga Wanakwenda kutafuta furaha ambayo waliikosa dhidi ya Kagera Sugar.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Yanga iliambulia pointi moja ugenini Uwanja wa Kaitaba ikiwa ni sare yake ya kwanza ndani ya msimu wa 2023/24.
Miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa kwenye kikosi cha kwanza ni pamoja na Metacha Mnata ambaye ni mlinda mlango,Khalid Aucho, Pacome na Maxi Nzengeli.

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa kazi kubwa kwenye mechi zao ambazo wanacheza ni kusaka pointi tatu.

YANGA KUTAFUTA FURAHA KWA DODOMA JIJI LEO

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

“Kwenye mechi ambazo tunacheza kikubwa tunahitaji kupata pointi tatu muhimu, tunatambua kwamba ushindani ni mkubwa nasi tutajitahidi kupata matokeo,”.

Yanga ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa imecheza mechi 12 ushindi ni mechi 10 imepoteza mchezo mmoja na sare mchezo mmoja ina pointi 31.

Acha ujumbe