DODOMA JIJI INAZIDI KUDIDIMIA MKIANI

HALI siyo nzuri Kwa timu pekee ya Ligi Kuu kutoka Makao Makuu ya Nchi Dodoma, Dodoma Jiji, Baada ya matumaini Yao ya kubaki Ligi Kuu kuendelea kuzama.

Hiyo ni baada ya kuchapwa mabao 4-0 jana na Mabingwa wa 2024-25 Yanga, kwenye mchezo uliochezwa Jana kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.DODOMA JIJIDodoma Jiji wamekusanya alama 30 tu kwanye mechi 28 walizocheza hadi Sasa. Wamebakiwa na mechi mbili Ngumi dhidi ya timu ambazo na zenyewe zinapambania nafasi ya kubaki Ligi Kuu, ambazo ni Mashujaa na Tabora United.

Wanahitaji walau wapate alama tatu tu Ili wawe na matumaini angalau ya kubakia Ligi Kuu.

Acha ujumbe