Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea kwa mchezo mmoja ambao ni mwenyeji Simba dhidi ya Ihefu FC kutoka Mbeya.

 

Simba Kumkaribisha Ihefu Leo

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 katika dimba la Benjamin Mkapa ikiwa ni mchezo wa sita kwa Mnyama na mchezo wa sita kwa Ihefu ambapo mechi ya mwisho alitoa sare.


Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Simba mpaka sasa ameshinda mechi zake zote kati ya tano alizocheza chini ya kocha mkuu Robertinho wakiwa nafasi ya pili na michezo miwili mkononi huku leo wakiangazia kupata ushindi mwingine mnono.

Simba Kumkaribisha Ihefu Leo
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Toka Ihefu apande ligi kuu hajawahi kumfunga Mnyama kwenye mechi nne walizokutana, wala hajawahi hata kupata sare, hivyo nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu wanapewa vijana wa Msimbazi kwa ODDS ya 1.15 kwa 13.72. Bashiri mechi hii pale Meridianbet.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa