Thursday, December 1, 2022

CAF

HABARI ZAIDI

simba queens

Simba Queens Tayari kwa Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Klabu ya soka ya wanawake ya Simba Simba Queens imetangaza iko tayari kwa michuano ya ligi ya mabingwa Afrika wakiwa kama wawakilishi pekee wa...

Kanoute Kukosekana Kariakoo Derby.

0
Kiungo wa klabu ya Simba raia wa Mali Sadio Kanoute atakosekana katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa muda...

Tanzania Yapata sare dhidi ya Nigeria.

0
Timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 23 miaka imelazimisha sare ya bao moja kwa moja dhidi ya timu ya taifa ya Nigeria...

Simba Queens Yaibamiza Yanga Queens.

0
Klabu ya soka ya wanawake ya  Simba Queens imefanikiwa kuifunga klabu ya soka ya Wanawake ya Yanga inayojulikana kama Yanga Queens mabao mawili kwa...

Azam Fc Mbioni Kumtimua Lavagne.

0
Klabu ya Azam Fc ipo mbioni kumtimua kocha wake mkuu Dennis Lavagne raia wa Ufaransa baada ya kupata matokeo ya kutoridhisha hivi karibuni na...
kayoko

Kayoko: Hakimu Kariakoo Derby.

0
Mwamuzi kijana Ramadhan Kayoko amechaguliwa kuamua mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga utakaopigwa Oktoba 23 siku ya jumapili utakaopigwa katika...
phiri

Phiri Aahidi Kufanya Makubwa Kariakoo Derby.

0
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Moses Phiri ameahidi kufanya makubwea katika mchezo wa kariakoo derby kati ya klabu yake ya Simba dhidi ya Yanga...
mgunda

Mgunda Tunahitaji Ushindi Kwenye Derby.

0
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Juma Mgunda amesema malengo yao kama timu ni kwenda kushinda mchezo wa derby siku ya jumapili Oktoba 23...

Sopu Asumbuliwa na Majeraha ya Misuli.

0
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Abdul Khamis Suleiman Sopu atafanyiwa vipimo kutaoka na majeraha yanayomkabili msjambuliaji huyo siku za hivi karibuni.Sopu ambaye taarifa kutoka...
mo dewji

Mo Dewji Bado Aota Ubingwa wa Afrika Simba.

0
Mwekezaji na Rais wa heshima wa klabu ya Simba Mo Dewji bado ameendelea kuiota ndoto ya kuiona klabu ya Simba ikibeba Ubingwa wa Afrika...