Singida BS imetolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika hapo jana baada ya kupoteza mchezo huo dhidi ya Future FC ya Misri kwa mabao 4-1 baada ya dakika 90 kukamilika.
Singida alishinda mchezo wa kwanza akiwa nyumbani kwa bao 1-0 hivyo alisafiri akiwa na faida ya bao moja lakini mambo yalibadilika ndani ya dakika 90 na kuzima matarajio ya Walima Alizeti kutinga hatua ya makundi.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
Mpaka kumalizika kwa kipindi cha kwanza cha mchezo ilikuwa ni 1-1 na kipindi cha pili wenyeji wa mchezo walipata bao la pili kwa mkwanju wa penati lakini pia walipata kadi nyekundu baada ya kupata kadi nyekundu.
Wapenzi wa soka walidhani kuwa Future kupata kadi nyekundu ndio itakuwa rahisi kwa Big Stars kupata ushindi wa mechi hiyo lakini haikuwa hivyo kwani walifanya makosa ya kizembe na kuishia kufungw akwa mabao 4-1.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Hivyo Futurte imetinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa aggregate ya 4-2, na Singida atarejea nyumbani kwaajili ya Ligi na michuano mingi ya ndani.