NyumbaniAmerican Football

American Football

HABARI ZAIDI

Michael Ballack na Didier Drogba: Ronaldo Inuka Upambane

0
Ukiniuliza Picha yangu bora iliyoishi na sio kuishia ? Basi nitakurudisha tarehe 21 Mei 2008 kwenye Dimba la Luzhniki mjini Moscow, pale kwa Putin...

Infantino Asikitishwa na Kifo cha Malkia.

0
Infantino rais wa shirikisho la mpira duniani (FIFA) ameonesha kusikititishwa na kifo cha malkia Elizabeth kilichotokea jana huko Balmoral nchini Uingereza. Malkia huyo ambaye anaingia...

Jemedari: Wanaomchukia Manara ni Wengi Kuliko Tunaompenda

0
Jemedari Said Kazumari amekua ni moja ya watu wanaozungumzia kwa ukaribu sakata la manara na TFF kwa siku za karibuni, Leo kupitia kurasa wake...

Simba na Yanga Mambo Safi, Makampuni Yamwaga Fedha

0
Imeandikwa na Jemedari Said HATUA na kila hatua duah..! Kama unajua namna Simba na Yanga zilivyohangaika na mikataba ya kulaliwa laliwa, ukiona hivi unawapongeza. Kila upande...

Chiko Atemwa Yanga, Uhakika wa Yakuba Jangwani Mhh!

0
KLABU ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na kiungo wa Kimataifa wa DR Congo Chiko Ushindi ambaye alikuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu...

Gabriel Jesus to Arsenal Ndio Neno Linalo Ongoza Kutafutwa Wiki Hii

0
Baada ya kuwapoteza Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette, Arsenal inataraijia kumsajili mchezaji wa Manchester City na timu ya taifa ya Brazil, Gabriel Jesus.The Gunners...

McVay Amekuwa Kocha Mdogo Zaidi Kushinda Super Bowl

0
Kocha mkuu wa Los Angeles Rams, Sean McVay, amekua kocha mdogo zaidi kutwaa Super Bowl katika historia ya NFL, rekodi ambayo hapo awali ilikuwa...

Tom Brady Kustaafu Baada ya Kutumika kwa Misimu 22 Kwenye NFL

0
Mlinzi wa kati wa klabu ya Tampa Bay Buccaneers Tom Brady ambaye amicheza kwa zaidi ya miaka ishirini kwenye ligi "National Football League" NFL...

NFL: James White Kuukosa Msimu Uliyobakia

0
New England Patriots wamepata pigo jipya la kumkosa James White kabla ya pambano lao na mabingwa watetezi, Tampa Bay Buccaneers, na inasemekana kwamba James...

Tom Brady: Nitacheza Mpaka Nifike Miaka 50

0
Tom Brady amesema kwamba hana haraka ya kustaafu kucheza katika NFL kwani amelenga kucheza mpaka atakapo kuwa na umri wa miaka 50.Brady kwa sasa...