Kocha mkuu wa Los Angeles Rams, Sean McVay, amekua kocha mdogo zaidi kutwaa Super Bowl katika historia ya NFL, rekodi ambayo hapo awali ilikuwa ikishikiliwa na Mike Tomlin wa Pittsburgh Steelers.

McVay Amekuwa Kocha Mdogo Zaidi Kushinda Super Bowl

McVay, ambaye alimaliza msimu wake wa tano akiwa kocha wa Rams, sasa ndiye anayeshikilia rekodi ya kocha mkuu mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya NFL kushinda Super Bowl, akifanya hivyo akiwa na umri wa miaka 36 na siku 20.

Angeweza kufanya hivyo miaka mitatu iliyopita dhidi ya New England Patriots, lakini Rams haikushinda wakati huo

Los Angeles Rams waliifunga Cincinnati Bengals 23-20 na McVay alisema: “Ninajisikia vizuri. Unazungumza kuhusu timu thabiti makocha, wachezaji, ninajivunia kundi hili,” McVay alisema. “Kwa washambuliaji kutafuta njia, na kisha Aaron kuweza kumalizia, ni ushairi aisee.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa