Michezo ya kwanza ya raundi ya 16 bora katika michuano ya Ligi ya Mabingwa kuendelea siku ya Jumanne na Jumatano wiki hii.
Liverpool walimaliza hatua ya makundi wakiwa juu kwenye kundi lao na kuwa timu ya kwanza ya Uingereza kumaliza hatua ya makundi kwa kushinda michezo yote sita ya makundi.
Sasa wanenda kukutana na Inter Milankatika dimba la San Siro siku ya Jumatano mchezo wa kwanza kabla ya kurudiana wiki ziajzo.
Ratiba ya wiki hii ya Ligi ya Mabingwa
Jumanne, Februari 15 2022
Paris Saint-Germain v Real Madrid (Parc des Princes Muda saa 5:00 usiku)
Sporting CP v Manchester City (Estadio Jose Alvalade muda saa 5:00 usiku)
Jumatano, Februari 16 2022
Inter Milan v Liverpool (San Siro Muda saa 5:00 usiku)
FC Salzburg v Bayern Munich (Red Bull Arena Muda saa 5:00 usiku)
Tandaza Jamvi lako Mapemaa wakati Odds zimeshiba Gusa hapa
Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.


