Mlinzi wa kati wa klabu ya Tampa Bay Buccaneers Tom Brady ambaye amicheza kwa zaidi ya miaka ishirini kwenye ligi “National Football League” NFL ametangaza kustaafu leo siku ya jumanne.

Tom Brady mwenye miaka 44 anbaye anatambulika kama mchezaji bora wa muda wote kwenye ligi ya NFL, pia katika kipindi chote cha zaidi ya miaka 20 alichotumikia kwenye ligi hiyo amefanikiwa kuchukua “Super Bowl championships” saba na kuweka kumbukumbu kuwa ndiye mchezaji aliyechukua “Super Bowl” nyingi zaidi kuliko yeyote kwenye NFL.

Tom Brady
Tom Brady

Tom Brady aliandika kwenye mtandao wake wa twitter, “mara zote nimemini kwenye mchezo wa mpira wa miguu ni jinsi ya wewe unavyojitoa, ikiwa kama hutajitoa kwa asilimia 100, huwezi kufanikiwa na mafaniko ndicho ninachopenda kwenye mchezo.

“Afya ya mwili, akili na hisia ni changamoto, kila siku ninayopata najitahidi kujiweka sawa, na nimejaribu kwa ubora wa juu kwa miaka 22, na kwenye mafanikio hakuna njia ya mkato ukiwa uwanjani au kwenye maisha.

“Ni ngumu kuandika kwangu, lakini hii ndivyo ilivyo, sitaki kujikita kwenye mashindano tena, nilikuwa napenda NFL sasa ni muda wa mimi kuwekeza nguvu na muda kwenye mambo mengine yanayohitaji umakini wangu.”

Mchezo wa mwisho kwa Tom Brady ulikuwa ni kati ya Buccaneers vs Los Angeles Rams ambapo timu yake ya Buccaneers ilitolewa kwenye mchezo playoffs kwenye sekunde za mwisho.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa