Mchezaji wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood, awali alishitakiwa kwa kosa la unyanyasaji wa kingono kupitia picha zilizotumwa mtandaoni na sasa ameongezewa shitaka jingine la mauwaji.

Mason Greenwood Alikamatwa siku ya Jumapili mchana, baada ya kushukiwa kwa kosa la ubakaji na kumnyanyasa kingono msichana ambaye alikuwa mpenzi wake, baada ya kuchapisha picha na video kwenye mitandao ya kijamii.

Mason Greenwood
Mason Greenwood

Alishikiliwa kwa usiku mzima na polisi wa kutoka Greater Manchester Police (GMP), ambao walipewa muda zaidi wa kumuhoji, awali hawakumtambua kama mshukiwa.

Kwa taarifa iliyotolewa na “Greater Manchester Police,” Polisi walisema, “Polisi wamepewa muda zaidi wa kuzungumza na kijana mwenye miaka 20, ambaye amekamatwa kwa kushukiwa kwa kesi ya ubakaji na unyanyasaji wa kingono.

“Mshukiwa ameshikiliwa tokea jumapili tarehe 30 January mchana, baada ya kuzitambua picha na video zilizotumwa na msichana ambaye alitoa taarifa ya kushambuliwa.

“Greenwood atendelea kuhojiwa baada ya kupata kibali cha mahakama mpaka kesho,  tarehe  2 siku ya jumatano, baada ya kuongezewa shitaka la mauwaji.”


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa