Ukiniuliza Picha yangu bora iliyoishi na sio kuishia ? Basi nitakurudisha tarehe 21 Mei 2008 kwenye Dimba la Luzhniki mjini Moscow, pale kwa Putin .ndipo ilipopigwa Picha yangu ya wakati …
Makala nyingine
Jemedari Said Kazumari amekua ni moja ya watu wanaozungumzia kwa ukaribu sakata la manara na TFF kwa siku za karibuni, Leo kupitia kurasa wake wa Instagram ameandika andiko lefu kuhusu …
Imeandikwa na Jemedari Said HATUA na kila hatua duah..! Kama unajua namna Simba na Yanga zilivyohangaika na mikataba ya kulaliwa laliwa, ukiona hivi unawapongeza. Kila upande umepata kutokana na thamani …
KLABU ya Yanga imefikia makubaliano ya kuachana na kiungo wa Kimataifa wa DR Congo Chiko Ushindi ambaye alikuwa anacheza kwa mkopo akitokea kwenye klabu ya TP Mazembe. Msemaji wa klabu …
Baada ya kuwapoteza Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette, Arsenal inataraijia kumsajili mchezaji wa Manchester City na timu ya taifa ya Brazil, Gabriel Jesus. The Gunners wanataka kuongeza makali kwenye safu …
Wajerumani wnaa msemo wao maarufu sana unaosema “ Nur die Harten kommen in den Garten” ambao una maana “ wenye nguvu pekee ndio hushinda vita au kufika mwisho kishujaa “ …
Kiungo anayemaliza muda wake kunako Manchester United, Nemanja Matic amefikia makubaliano ya kuungana na Jose Mourinho huko AS Roma 🇮🇹 kwa mkataba mpaka Juni 2023 ambao upo ukingoni kusainiwa. Matic …
LeBron James anaweza kuwa mmoja wa wanamichezo maarufu ulimwenguni, lakini licha ya umaarufu wake, nyota huyo wa LA Lakers ni mmoja wa wanamichezo wanaoshambuliwa sana kwenye Twitter. James ana wafuasi …
Mino Raiola limekua ni jina lililoshika kasi kwa wiki za karibuni husan kwenye vichwa vya habari za michezo vya Ulaya, Jina lake inawezekana likawa kubwa kuliko kufahamika kwake, ndio inawezekana …
Lebron James ametimiza miongo miwili tangu alipoanza kucheza mpira wa kikapu mwaka 2003 katika timu ya ya Clevaland Cavaliers ambayo alihama na kurudi. Lebron hakuwa staa mkubwa pamoja kufanya vizuri …
Mcheza kikapu wa Los Angeles Clippers, Montrezl Harrell amejinyakulia Tuzo nyingine ya NBA’s Sixth Man Award kwa mara ya tatu mfululizo kwa klabu ya LA Clippers. Montrezl amempokea mchezaji mwenzie …
Thiago Silva ni Mbrazil wa kwanza kuanza fainali ya Kombe la Ulaya Ligi ya Mabingwa kama nahodha. Thiago Silva amekuwa nahodha wa PSG mara nyingi zaidi kuliko mchezaji mwingine yeyote …
Mchezaji wa Portland Trail Blazer Damian Lillard alifanikiwa kufunga alama 34 katika mchezo wao dhidi ya Los Angeles Lakers iliyokuwa na staa wao hatari Lebron James. Lillard aling’aa katika mchezo …
Stephen Curry: kwenye ulimwengu wa mpira wa kikapu kuna matukio na watu mbali mbali waliobeba historia ya mchezo huo, uliojizolea umaarufu mkubwa duniani huku ukuonekana kuheshimika zaidi nchini marekani ambako …