Stephen Curry: kwenye ulimwengu wa mpira wa kikapu kuna matukio na watu mbali mbali waliobeba historia ya mchezo huo, uliojizolea umaarufu mkubwa duniani huku ukuonekana kuheshimika zaidi nchini marekani ambako ligi ya mpira wa kikapu ya marekani inakadiriwa kufuatiliwa na mamilioni ya watu duniani kote.

Katika mitaa ya Akron Jimbo la Uhio nchini Marekani anatokea mwamba ambae kwa sasa anawakilisha mji wa Califonia akiwa na timu ya Golden State Warriors kama mshambuliaji katika timu hiyo Wardell Stephen “Steph” Curry . Mshindi huyo mara sita wa NBA allstars anatajwa kua ndie mchezaji mwenye thamani zaidi katika wachezaji wanaocheza ligi ya mpira wa kikapu ya marekani
Kijana huyo wa mtoto wa mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu Dell Curry alianza kwa kucheza timu yake ya chuo inayoitwa WildCats. Ambako alipewa tuzo ya uchezaji bora wa mwaka mara mbili.
Mwaka 2014-15, Curry akashinda tuzo ya “MOST VALUABE PLAYER “MVP” kwa mara ya kwanza na kuiongoza Worriors kwenye ubingwa ambao haiku upata tangu mwaka 1975,
Daniel
#MERIDIANBET thumbs up
Ester jackson
Kuidhamini kazi yako na kipaji chako humfanya mtu afike katika lengo lake .piga kazi baba
David Pere
Huyu jamaa hakupe delewa kupewa hiyo tuzo Bali amestahili kwani kaipigania timu yake mpaka wamechukua ubingwa
samiah
Jamaaa amestshili kupewa ubigwa kwani kapigana sana ktk timu yake mpk amehakikisha amenyakuwa ubigwa
Neema juma
Anastahili hongera kwa maana anapenda kipaji chake na anafanya vzr