Mtanzania Alphonce Simbu ameweka historia mpya katika riadha ya kimataifa baada ya kushinda medali ya dhahabu kwenye mashindano ya mbio za Dunia yaliyofanyika jijini Tokyo, Japan. Katika mbio za kilomita 42.195, Simbu alionesha kasi ya ajabu akiwashinda wakimbiaji waliotazamiwa kuwa na nafasi kubwa ya kutwaa ushindi.
Katika kile kilichokuwa moja ya mbio za kusisimua zaidi, Mtanzania huyu alimpiku Amanal Petros wa Ujerumani kwa tofauti ya sekunde 0.03 tu kwenye mstari wa mwisho. Picha ya mwisho ilithibitisha ushindi huo mwembamba, huku mashabiki wakimshuhudia akimaliza kwa muda wa saa 2:09.48, rekodi ya kuvutia kwa mashindano ya kiwango hiki.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa



