Mark Cuban mmiliki wa Dallas Mavericks anatumaini wachezaji wa ligi ya kikapu nchini Marekani NBA wataruhusiwa kupiga goti wakati wa kuimba wimbo wa taifa hilo. Uongozi wa NBA, wachezaji, …
Makala nyingine
Robert Lewandowski alitaka kujiunga na Real Madrid kucheza pamoja na Cristiano Ronaldo kabla ya kushawishiwa kusaini Bayern Munich, kulingana na wakala wake wa zamani wa mshambuliaji huyo, Cezary Kucharski. Nyota …
Kocha wa Bayern Munich Hansi Flick alikataa kutoa maoni juu ya uvumi kuhusu klabu yake kuwa mbioni kumsajili winga kutoka Manchester City, Leroy Sane. Kocha wa City, Pep Guardiola amethibitisha …
Virgil van Dijk amesema kwamba Liverpool inaenda kuwa bora na kutawala amevionya vilabu vya Ligi ya Uingereza. Liverpool wapo kileleni mwa ligi ya EPL kwa tofauti ya alama 22 huku …
Raúl Jiménez (alizaliwa 5 mei 1991) ni mchezaji wa soka wa Mexico ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Wolverhampton Wanderers, kwa mkopo kutoka Benfica, na wa timu ya …
Maumivu yaliyoje kukosa nafasi ya kutazama pambano la mwisho kati ya Mohammed Alli na Joe Frazier. Lilikuwa Pambano la kusimamisha dunia, pambano la kuzima jua na pambano la kutuliza bahari. …
Bruno Fernandes anaamini kuna mengi mazuri yanakuja kutoka kwake yeye na kiungo mwenzake Paul Pogba katika timu ya Manchestrer United. Fernandes ameleta mabadiliko makubwa tangu ajiunge na Man U akitokea …
Marc-Andre ter Stegen golikipa wa Barcelona anaamini Barca itatetea taji la La ligalicha ya kupata alama moja kwenye mchezo wao na Sevilla ambao ulimalizika kwa kwenda sare ya 0-0, Barca …
Leroy sane ataondoka Manchester City hii ni baada ya Pep Guardiola kuthibitisha kuwa winga huyo kutoka Ujerumani kuikataa ofa mpya aliyopewa na timu. City wamekuwa wakijaribu kumshawishi mchezaji huyo mwenye …
Mikel Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa licha ya kupokea kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Manchester City ana imani kikosi chake kitarejea kwenye ubora wake. City iliyo chini …
Chelsea wamethibitisha kuwa wamefikia makubaliano na klabu ya RB Leipzig juu ya uhamisho wa mshambuliaji Timo Werner. Werner amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya €170,000 kwa wiki, …
Winga wa Fc Bournermouth Ryan Fraser ameikataa dili ya kuongeza mkataba wa kipindi kifupi katika mkataba wake unaotarajiwa kumalizika. Mscotiland huyo kwa sasa anatarajia kuondoka katika timu hiyo ilipo chini …
Michuano ya US Open inatarajiwa kufanyika kule New York. Kama ilivyo michuano mingine ya kimichezo iliyopangwa kuendelea hivi karibuni, michuano hii itafanyika bila mashabiki. Gavana wa New York, Andrew Cuomo …
Winga wa Inter Milan Samu Castillejo ameongelea jinsi alivyo jisikia baada ya kuvamiwa na kuelekezewa Bastola kichwani mwake. “Hakuna anayependa kuwekewa silaha kwenye mwili wake” aliongea nyota huyo wa Milan …
Kevin Durant mcheza kikapu wa marekani, amesema “ mara kwa mara nimekuwa mshabiki mkubwa wa soka na nilihitaji kuingia kabisa kwa maana kuwekeza kwenye huu mchezo mimi na timu …
Kylian Mbappe anaweza kutakiwa kuihama timu yake ya Paris Saint Germain kukidhi haja ya kiushindani hii nikwa mujibu wa nyota wa Real Madrid, Luka Modric. Mbappe mwenye umri …
Fernando Muslera aliumia goti wakati timu yake ya Garatasaray ilipopoteza 2-0 dhidi ya Rizerspor kwenye Supa ligi siku ya juma pili. Golikipa huyo Garatasaray mtaifa wa Uruguai alitolewa …
Vilabu vya ligi kuu nchini Uingereza vimekua vikihusishwa na kuinasa saini ya mchezaji Jardon Sancho anaye cheza katika timu ya Borussia Dortmund, mchezeji huyo anaye sakata kabumbu katika nafasi ya …
Si unakumbuka Giovanni Van Broickhoist alivyoisimamisha Afrika Kusini ile 2010. Wahuni wa Soweto wakakubali kuzima misokoto, wakasimama kutazama matusi yasiyokera ya ‘m-dutch’. Lile bao, hadi madaktari walisahau kuwasikiliza wagonjwa wao. …
KLABU ya Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni 115milioni ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph) Winga wa Crystal Palace na Ivory Coast Wilfried Zaha, …

