Winga wa Inter Milan Samu Castillejo ameongelea jinsi alivyo jisikia baada ya kuvamiwa na kuelekezewa Bastola kichwani mwake. “Hakuna anayependa kuwekewa silaha kwenye mwili wake” aliongea nyota huyo wa Milan
Castillejo alikua na saa yenye thamani ya yuro elfu themanini ambayo iliibwa na wezi waliotumia pikipiki wakati alipo vamiwa akiwa ndani ya gari lake.

Mhispania huyo mwenye umri wa miaka 25 baadaye kuwapata waharifu hao baada ya kupata msaada wa Polisi, kwa kuwakamata wanaume wawili ambao walihusika katika tukio hilo .
Tukio lilitokea maeneo ya Pizza Principessa Clotilde jijini Mila “ ni bahati polisi waliweza kuwa pata waharifu wangu” aliiambia Radio Marca.
“Woga unabakia hakuna ambaye angependa kutishiwa Bastola kwenye kichwa chake, tukio lilitokea ndani sekunde ishirini walikua wakitumia pikipiki .
“Waliweka Bastola kwenye kichwa changu na kunitaka niwapatie saa walirudia mara kwa mara kunitaka niwapatie saa.
Castillejo alijiunga na Inter Milan akitokea Villarreal mwezi agosti 2018 na alifunga goli lake la kwanza walipo kutana na Sassuolo, Inter ilishinda 4-1 ugenini.
Inter Milan watarudi dimbani kuendelea na Ligi ya Serie A dhidi ya Lecce siku ya julai 22 wakiwa wamesimama katika nafasi ya saba kwenye msimamo wa ligi hiyo, wakiwa wamecheza michezo 26.


Rehema
Asante meridianbet
Povel
Duh pole sana fundi wa mpira thnks meridian bet tz kwa update za michezo na burudani
Theckla
Hatari Sana
David Pere
Duuh hatari sanaa hiyo
Shafii
Bastora nomaa kweli sio kitu Cha mchezo mchezo
Gabriel
Bastola kitu kingine jaman
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Atari sana
isha
Duuh msiongelee tena jamani mimi naogopa sana bastola uisikie tuu kwa mwenzio
Ester jackson
Kweli kabisa hakuna anaependa kunyooshewa bastora pole sana
Elika
Pole sana
Samiah
Pole sana hakuna abaependa limtokee jambo km hilo
Adelta
Pole sana
Magdalena
Pole sana
Omary lukumbi
Duuh noma sana hiyo kitu bastola sio mchezo haina undugu unaimiliki na inakuua vile vile manati ya mzungu sio poa
Tahiya
Ni jambo la kuogopesha sana
Mwanaidi
Bastola sio poa na sio kwake tuu ni kwa mtu yoyote usilete mchezo kabisa na bastola
Asia Abdy
Noma sana dah
Khadija
Duuuh hatari sana#meridianbettz
Adelta
Pole sana
warda
Bora alivyowapa na kuokoa uhai wake#Meridianbettz
Neema hassan
Duuh hatari
Hope mwaikuka
Jamanii
Emmy cleopa
Mhhh jaman hii mbona hatari Ila pole sana
Devotha
Pole sana
felister
hahaha hapana chezea kitu cha moto
Johnmary joel
Ee jamani ambapo awakumuua make mtu akuwekee bastola halafu akuache siyo poa#meridianbettz
Caroline
Wezi sio watu wazuri.
lombo
bastola
Salma
Hatari sana
Njiku
Dah pastola tena
Dorophina
Dhaa hiyo Ni hatari pole yake
Hamidu
Asankwa update za michezo#meridianbettz
Ernest
Bastola sio pouuwa
Genia Sikaluzwe
Daaaah hatari Sana
Sadick
Visa vya wachezaji kukabwa vinaongezeka maana hivi karibuni imeripotiwa jinsi mcheza ndinga wa Tottenham Delle Alli alivyovamiwa na wez akiwa nyumbani kwakei #meridianbettz
Sabrina
Maoni:Pole sana kwa mkasa ulio kukuta
Issa
Hii castlejo ni bunduki hatari
Furahav
Pole sana.
Zeiyana
Bastora nomaa ukisikia paa ujue imekukosa
Tatu
Pole sana