Watu billion mbili duniani kote walikaa nyuma ya Luninga zao ule usiku wa saa 2:15 kushuhudia pambano kubwa la Masumbwi lililopewa jina la The Last Hurrah, ilikua ni usiku wa …
Makala nyingine
Michezo ni miongoni mwa biashara kubwa na nzito sana ambayo wenye uelewa na akili juu ya biashara hiyo na aina ya uwekezaji unaofanywa hapo anaweza kuona kama mambo yanayofanyika ni …
Mbappe ana mtihani kama wa Obama jioni ile ya 2008 pale Chicago, safari ya mtoto huyu ilianzia pale visiwani Monaco kwenye dimba la Stade Louis, aliwastua Wafaransa, alibisha hodi kwenye …
Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo, Dieumerci Mbokani ameshinda tuzo Ebony Shoe huko Ubelgiji kwa msimu wake bora akiwa na klabu yake ya Royal Antwerp kwa mara ya Pili, pia …
Wachezaji 16 wa klabu ya Vasco da Gama inayoshiriki Serie A ya Brazil wamekutwa na maambukizi ya virusi vya Corona baada ya kupimwa. Brazil imeripoti zaidi ya wagonjwa laki 5 …
Afrika imejaaliwa na wapenzi wengi wa soka katika kila taifa kuna wapenzi wa soka, linaweza kua kimataifa au kwa timu za ndani, Katika ushabiki wa soka nako kuna namna mbili …
Klabu ya Rangers ya Scotland wamefanikiwa kwenye harakati zao za kumpa Mkataba wa kudumu Winga wa Kimataifa wa Romania Ianis Hagi. Hagi, 21, alihamia Ibrox kwa mkopo mnamo Januari kwa …
Arsenal inatarajiwa kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo wa kati wa Barcelona Phillipe Coutinho. Mchezaji huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 27 amehudumia msimu wote akiwa kwa mkopo katika …
Mshambuliaji kinda wa klabu ya Atletico Madrid, Joao Felix amepata jeraha la goti Akiwa kwenye mazoezi. klabu hiyo imethibitisha kuumia kwake wakati huu Vilabu vya La Liga vinaendelea na maandalizi …
Baada ya kiwango Bora huko Bundesliga, Achraf Hakimi atarudi Real Madrid mara tu mkopo wake huko Borussia Dortmund utakamilika, wakala wake amethibitisha, huku akikataa madai kuwa Inter Milan imeweka ofa …
Ukiwa Liverpool usiogope giza lilio mbele ya macho yako wala dhoruba kali pale unapotembea katika mvua, kichwa chako siku zote kitazame juu, huku moyo wako ukibeba tumaini. Tumaini la ushindi, …
Hebu tujiulize kitu, Vipi kuhusu kejeli alizotupiwa tarehe 20 January 2001? Dunia nzima imesimama siku ile, watu wanautazama urefu wa Diego Corrales wanamuuliza Mayweather unaenda kufanya nini. Wanaufikiria uzito wa …
Liga MX, huko Mexico 🇲🇽 imetangaza kuwa jumla ya wachezaji wanane wa Klabu ya Santos Laguna wamepatikana na ugonjwa wa coronavirus… Ligi hiyo ilithibitisha habari hiyo jana Jumatano jioni kwani …
Ni nini maana ya Simulated Reality League na unaibashiriaje? Simulated Reality League ni ligi halisi za kuchezeshwa ni mchezo usio halisi wa mpira, ambao una tofauti kubwa ambayo imekuja kua …
Wakati dunia nzima ikitangaza kusitisha michezo ya aina zote kutokana na janga la korona, UFC wakapitia kipindi cha kuwa ndio watu wa kwanza kuendesha Pambano kubwa la kimataifa lililo fanyika …
Steven Gerrard alikuwa na majibu ya hekima juu ya kauli ya Sir Alex Ferguson kuwa hakumtathmini yeye kama mchezaji wa viwango vya juu sana ukilinganisha na nyota wengine wengi. Kwenye …
Safari nzima ilitamatikaka pale Keko ya Dar es Salaam tarehe 17 Mei 2012. Nani haikumbuki taharuki ya asubuhi ile? Ilikuwa habari kila kona ya mtaa. Tumempoteza fundi mjenzi na fundi …
The Austrian Grand Prix, inaelekea kuwa mbio za kwanza zilizoathiriwa vibaya sana na janga la mlipuko wa ugonjwa wa Corona miongoni mwa mashindano ya ubingwa wa dunia wa Formula One, …
Ugiriki ni moja ya nchi ambazo zina utajiri mkubwa wa mambo ya kale, na historia ya Ugiriki ni moja ya zile historia za mafanikio makubwa. Dhamira hii inavutia sana na …
Paris Saint-Germain wametwaa ubingwa wa Ligi ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1 ambao umemalizika kwasababu ya janga la Corona. PSG walikuwa pointi 12 juu kwenye msimamo wa Ligue 1 ikiwa …