Joao Felix Apata Majeraha ya Goti Akiwa Mazoezini

Mshambuliaji kinda wa klabu ya Atletico Madrid, Joao Felix amepata jeraha la goti Akiwa kwenye mazoezi. klabu hiyo imethibitisha kuumia kwake wakati huu Vilabu vya La Liga vinaendelea na maandalizi ya kurudi kwa ligi hiyo mwezi bila Mashabiki ndani ya Uwanja.

Joao Felix

Mreno huyo aliyejiunga na Klabu hiyo kutoka Benfica mwaka jana, amekuwa muhimu kwenye Kikosi cha kocha Diego Simeone tangu kuwasili kwake, akiwasaidia ligi ya nyumbani na Ulaya, ikiwemo kuwatupa nje ya Ligi ya Mabingwa klabu ya Liverpool mnamo Machi, na kuisaidia Atletico kutinga robo fainali katika mashindano hayo ya bara la Ulaya.

Sasa anaweza kukosa mechi za mwanzoni baada ya kuanza kwa msimu baada ya hayo majeraha yake katika goti lake la kushoto wakati wa mazoezi…. Wakati huu wachezaji wanafanya mazoezi ya watu 10 kwa matumaini ya kumaliza msimu wa sasa.

34 Komentara

    gud newz asante

    Jibu

    Duu pole yake

    Jibu

    Pole sana kwa Joao #meridianbettz

    Jibu

    Pole sana mashabik na wapenz wake thnks meridian kwa gud news

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    mwenyezi mungu mkubwa atapata nafuu na atapona kabisaa

    Jibu

    Pole sana

    Jibu

    Pole sana kwa mchezaji na apone haraka

    Jibu

    Atarudi kwenye ubora wake mungu mkubwa

    Jibu

    Pole kwa mashabiki wa Atletico Madrid

    Jibu

    Duh pole yake atakuwa sawa soon

    Jibu

    Pole yake#Meridianbettz

    Jibu

    pole sana joao alex

    Jibu

    Pole yake alex

    Jibu

    Mungu amponye haraka aendelee na mashambulizi..

    Jibu

    Pole take.

    Jibu

    Pole sana kijana Felix.

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Pole yake MUNGU amsaidie arud dimban

    Jibu

    Ishakua na ugumu kidogo atletico Madrid

    Jibu

    Pole kwa mashabiki wa mpira

    Jibu

    Huyu jamaa yupo vizuri sana, kama ameumia muda mrefu itakuwa pengo plae atletico

    Jibu

    J.felix talent player# medianbettz

    Jibu

    Daah maisha ya kucheza mpira yashamuwia magumu sasa

    Jibu

    Wishing him a quickly recover!!

    Jibu

    Pole kwa majeraha ya goti la kushoto

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    hii Habari mbaya sana kwa atletico

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Taarifa mbaya kwa washabiki wa Atletico madrid

    Jibu

    Pole yake

    Jibu

    Polee

    Jibu

    Pole yake#meridianbettz

    Jibu

    Joao felix ni moto sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.