Mechi ya Yanga na Mwadui Itachezwa Leo Uwanja wa CCM Kambarage

Mwadui FC vs Yanga ni mechi ngumu kwa timu zote mbili, Yanga wanawania kukaa nafasi nzuri kwenye ligi lakini pia Mwadui hawapo sehemu salama ambayo unaweza kusema hawatoshuka daraja kwa hiyo wanahitaji kupata matokeo ili kujiimarisha kwenye nafasi nzuri za msimamo wa ligi.

“Tunafahamu tunacheza dhidi ya timu nzuri kwenye uwanja ambao si mzuri sana kwa sababu ni mkavu lakini nimeona.” “Wapinzani wetu wana mshambuliaji mzuri (namba 25), beki wa kati nahodha (namba 24) na kiungo mzoefu (namba 17), winga mwenye speed Ludovic pamoja na mabeki wa pembeni wanaoshambulia.” Kocha wa Yanga Luc Eymael

“Kwa hiyo tumejiandaa kukabiliananao na nimewaambia wachezaji nini cha kufanya.” Kocha wa Mwadui Khalid Adam



“Mwalimu yeyote anapofanya kazi anatengeneza kitu kwa ajili ya kutafuta ushindi, yakitokea mengine inakuwa nje ya malengo. Tumejipanga kwa sababu tuna shinda na pointi hatujakaa pazuri kwenye msimamo kama wenzetu kwa hiyo ni jukumu letu kupambana kuhakikisha tunabaki na pointi 3.”

“Lengo si kuifunga Yanga tu, lengo ni pointi tatu. Hata kama tungekuwa hatuchezi na Yanga, timu yoyote ambayo tungekuwa tunakutana nayo tungetafuta pointi tatu vilevile.”

Yanga inashika nafasi ya 3 ina alama 51 imecheza mechi 27 wakati Mwadui FC ipo nafasi ya 12 ikiwa na alama 34 baada ya kucheza mechi 28. Nyuma ya Mwadui kuna Lipuli, Mtibwa, KMC zote zina alama 33.

36 Komentara

    Yanga lazima washinde

    Jibu

    Acha tuone timu ya wananchi kama watawasha motoooo au ndo kama kawaida muendelezo

    Jibu

    Yanga inashinda bila kipingamizi

    Jibu

    Natamani yanga afungwe

    Jibu

    naisubiria kwa hamu jamanii

    Jibu

    Don’t miss

    Jibu

    Yanga leo mpambane pont tatu ni muhimu ili Morison asijione kama anaumuhimu hata kama hayupo

    Jibu

    Nawaombea dua timu ya wanachi yanga ilirud na ushindi

    Jibu

    Yanga wanashinda

    Jibu

    Na huku yanga wanamigogoro team itatoboa kweli?

    Jibu

    Kwa migogoro na matatizo waliyonayo wana yanga leo lazima wafungweeeeee

    Jibu

    Yanga lazima achukue ushindi leo#meridianbettz

    Jibu

    Patachimbika Leo wakaze tuu kwasababu yanga tiamajitiamaji

    Jibu

    Yanga lazima wa win

    Jibu

    Ligi ya bongo nayo hiyoooooo…bye bye Corona

    Jibu

    Yanga kama yanga

    Jibu

    Vizur kuona ligi yetu imerejea

    Jibu

    Yanga siwakubali hata kidogo

    Jibu

    Mimi naelekea huko huko kuona live sitaki kusimuliwa maana yanga ni shida

    Jibu

    Yanga watampata ushindi mwembamba sana

    Jibu

    Yanga mi nataka ushindi

    Jibu

    Hatimaye ligi ya Vodacom imerud tuendelee kuchukua taadhari ya ugonjwa wa corona

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Tulimiss burudani ya soka

    Jibu

    Bila kipingamizi leo ushi kwa yanga

    Jibu

    Mechi wameshinda kwa kudondokea Ila yule yipe sijui yope pale anakula ela ya bure Amna mchezaji#meridianbettz

    Jibu

    Yanga hakuna kitu.

    Jibu

    Yanga anashinda

    Jibu

    Wamejipanga vyema yanga dhidi ya wapizani wao so kwailo sisi mashiki hatuna neno tunasubir maneno yenu tu kama kweli mtafanya vitendo..! Yanga ya wanachi

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Nimeipenda hii makala

    Jibu

    utopolo

    Jibu

    Yanga wanashinda

    Jibu

    Mh ngoja tusubiri matokeo

    Jibu

    Bahati yao nilikuwa nawaombea Dua baya sana

    Jibu

    Yanga viande

    Jibu

Acha ujumbe