Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo, Dieumerci Mbokani ameshinda tuzo Ebony Shoe huko Ubelgiji kwa msimu wake bora akiwa na klabu yake ya Royal Antwerp kwa mara ya Pili, pia 2012 akiwa na Anderlecht.

Mbokani amefunga mabao 18 katika michezo 28 na kutoa Assists 7 kwenye msimu uliomalizika kabla ya mechi kumalizika kufuatia janga la Coronavirus….Tuzo hiyo hutolewa kila mwaka kwa Mchezaji Bora wa Afrika katika Ligi ya Ubelgiji “Belgian Pro League”.
Tuzo hii msimu uliopita ilibebwa nae Mshambuliaji wa KRC w, Mbwana Samatta… Kwa Mara ya kwanza Mchezaji kutoka klabu ya Antwerp ananyakua tuzo hii, Mbokani Anakuwa Mchezaji wa Nne kubeba tuzo hii zaidi ya Mara moja baada ya Mbark Boussoufa (3), Daniel Amokachi (2) na Vincent Kompany (2).


Gabriel
African Kuna vpaji hatar hongera kwa Dieumerci mbokani
Povel
Hongera kwake mbokani thnks meridian kwa update
Mwajuma
Atakua mrithi mpya wa samatta pale genk
Ester jackson
Hongera sana ni hatua nzuri sana aliyo ifikia ajitahidi sana mana asifurahie hiyo pekee anatakiwa kupata zaidi
Magdalena
Congo Kuna vipaji sana
Hidaya Mohammed
Nilijua congo muziki tu kumbe hata mambo ya mpira pia wapo vizuri
dorophina
Ongera kwake
Aziza mushi
Hongera kwake.
Amani
Mchezaji wa Africa wanajua Sana sema ndo ivyo ubaguzi wa rangi unawafanya siwe juu sana
Emmy cleopa
Hongera zake
mathayo sonje
huu ndio umuhimu wa mtu akiwa hayupo, samata atafanya mambo makubwa EPL kwa kumalizia msimu, japo anawakati mgumu wa timu work ila atatoboa tuu!!
David pere
Tuzo ameipata kweli je ataweza kumrithi samataaa
Kenani
Ametisha nae ameonyesha uwezo wake
Lydia Emmanuel Magoti
Ametisha nae kaonyesha huwezo wake yupo sahii
Zeiyana
Ni vizuri sana kocha kutengeneza mchezaji mbadara ya mwezake ingekua taarifa mbaya kama hadi Leo akuna mtu haliyechukua tunzo hiyo zaidi ya samata safi sana dieumerci mbokani na uwongozi wako kwa jumla
Hidaya Mohammed
Nilijua congo muziki tu kumbe hata mambo ya mpira pia wapo vizuri
Ernest
Pongezi kwa Mbokani amestahili kwa kweli.
mwakalosi
hii tuzo ni kwa ajili ya African players au ni wachezaji watakao fanya vizur?
Sadick
Ligi ya Ubelgiji imajaa wachezaji wengi wenye asili ya DR Congo na wanafanya vizuri. Ni imani yangu kuona siku moja akicheza timu kubwa zaidi#meridianbettz
Mwanaidi
Vizuri sana amejitahidi sana hongera kwake
Elika
Mbokani anastahili alichokipata..hongera kwake
aisha
hongera sana dieumerci
Tahiya
Big up Mbokani
Devotha
Hongera sana mbokani
Neema hassan
Pongezi kwake#meridianbetttz
Mariam mtandama
Safi
Rehema Dickson
Safi sana congo wamejaliwa vipaji vingi sana,, hongeraa sana kwake na kunauwezekano wa kufika mbali zaidi ya apo alipo leo
Rehema
Pokengezi kwa mbokani amestaili kwa kweli
winfrida
bidii yako ndo kila kitu endelea kukaza mbokani
Juliana
Hongera zake
Warda
Hongera yake mbokani #Meridianbettz
Hope mwaikuka
Congratulations champ Mbokan
Agness
Hongera zake Asante meridian kwa taarifa
Antony Luseno
Bendera ya afrika inapeperushwa vyema ulaya
Asha
Pongezi kwa fundiii wa mpra
felister
safi hongera kwa kuitangaza bara la afrika
Khadija
Tuzo ameipata ataweza kumrithi samata#meridianbettz
Samiah
Mbokani big up
Neema juma
Mmh katishaa hongera kwake
Frank Patrick
Kashuka mpaka kuchezea kiteam hicho?
Christopher
Hongera yake
Shafii
Hongera yake mbokani
Caroline
Hongera yake.he deserve
Theonestina
Hongera yake
Adelta
Hongera Sana mbokani
Salma
Hongera kwake
Theckla
Ametisha
Ester mmakasa
Hongera kwake
Genia Sikaluzwe
Hongera zake nyingi
Neema hassan
Pongezi kwake..
Sabrina
Maoni:Hongera mbokani tuone km unaweza kufata nyayo za samagoli
Fatina mfingi
Pongezi kwake