Rangers Imempa Kandarasi Ianis Hagi Akitokea Ibrox kwa Mkopo

Klabu ya Rangers ya Scotland wamefanikiwa kwenye harakati zao za kumpa Mkataba wa kudumu Winga wa Kimataifa wa Romania  Ianis Hagi. Hagi, 21, alihamia Ibrox kwa mkopo mnamo Januari kwa msimu wote Akitokea KRC Genk ya Ubelgiji.

Ianis Hagi

Rangers ilikuwa na chaguo la kununua baada ya kumalizika kwa mkopo. Ianis Hagi ameitumikia timu yake yake ya taifa ya Romania Mara 10 akitokea kucheza katika timu za vijana. Mara mbili ametajwa kuwania tuzo ya European Golden Boy.

 

Ianis Hagi

Hagi, mtoto wa nyota wazami wa FC Barcelona na Real Madrid, Gheorghe Hagi, alifunga mabao matatu katika mechi 12 za Rangers – ikiwa ni pamoja na magoli yake mawili katika hatua ya 32 ya Europa League dhidi ya Braga kabla ya mpira wa miguu huko Scotland kusimamishwa mnamo Machi 13

44 Komentara

    wamepata mshambuliaji hodari sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Hawajakosea atawasaidia kwenye mipango yao ya kusaka ubingwa mwakani

    Jibu

    Anajua. Amestahili kuongezewa mkataba#meridianbettz

    Jibu

    Wamempambania kiungo hodari sana.

    Jibu

    Aswa anastahiri

    Jibu

    Hongera kwao sana

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Wampe ni mchezaji anaejituma sana

    Jibu

    Mshambuliajii makini anastahili pongezi

    Jibu

    Mchezaj mzur sana hongera kwake thnks meridian bet kwa update

    Jibu

    huyu dogo itababidi nichimbe record zake

    Jibu

    Safi Sana inapendeza kwa kubata kiungo mahili Kama uyo

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Mshambuliaji mzuri sana..! Tunategemea matokeo yake mazuri

    Jibu

    anastahili

    Jibu

    Habari zuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Wampatie tu maana anajitumaa sana

    Jibu

    Mwanzo mzuri

    Jibu

    gud newz asante

    Jibu

    Anastahili nimchezaji anaejielewa

    Jibu

    Wampe tu

    Jibu

    Stive G anaongeza majembe tu mapemaa

    Jibu

    Habar njema sana

    Jibu

    Mshambuliaji mzuri sana..

    Jibu

    Habari njema izo

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Yuko pamoja

    Jibu

    Safi sana Hagi

    Jibu

    wataendelea kua juu kama kawaidaaa

    Jibu

    Aisee Ianis ni mkali kinyama#Meridianbettz

    Jibu

    Dogo anaweza sana

    Jibu

    Asanteni kwa taarifa

    Jibu

    Yuko pamoja

    Jibu

    Habari njema sanaa

    Jibu

    Imekaa poa hiyo

    Jibu

    Anastahil

    Jibu

    Wamepata mshambuliaji hodari sana

    Jibu

    Hongera kijana kaza buti utafanikiwa .

    Jibu

    Maamuzi mazuri Rangers imeamua kuyafanya

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Mchezaji mzuri,hongera kwake

    Jibu

Acha ujumbe