Maguire Amsifia Carrick Kwa Kuibadilisha Manchester united

Beki wa Manchester United, Harry Maguire, amemsifu kocha Michael Carrick kwa kuibadilisha timu hiyo na kuirejesha kwenye ushindani, kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Brentford F.C.

Maguire Amsifia Carrick Kwa Kuibadilisha Manchester unitedUshindi huo umeifanya United kukaribia kufuzu kwa UEFA Champions League msimu ujao, ikiwa ni mabadiliko makubwa ukilinganisha na msimu uliopita walipomaliza nafasi ya 15.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Michael Carrick alichukua nafasi ya Ruben Amorim mwezi Januari baada ya kipindi kigumu, ambapo wachezaji walikuwa wanapata shida kuendana na mbinu za kocha huyo wa zamani.

Maguire Amsifia Carrick Kwa Kuibadilisha Manchester unitedAkizungumza baada ya mchezo, Maguire alisema, “Tulianza na mechi ngumu dhidi ya Arsenal na Man City, lakini tuliweza kupata pointi sita muhimu, jambo lililoongeza imani kwa kila mmoja ndani ya timu.”

Maguire Amsifia Carrick Kwa Kuibadilisha Manchester unitedAliongeza, “Tangu kocha mpya aingie, matokeo yanaonyesha kila kitu. Tumeimarika zaidi katika safu ya ulinzi na ushambuliaji, na sasa tuna uwezo wa kufunga mabao kutoka sehemu yoyote.”

Maguire Amsifia Carrick Kwa Kuibadilisha Manchester unitedManchester United kwa sasa wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi 61, na ushindi tisa katika mechi 13 chini ya Carrick umeiweka timu hiyo katika nafasi nzuri ya kurejea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.