Watu billion mbili duniani kote walikaa nyuma ya Luninga zao ule usiku wa saa 2:15 kushuhudia pambano kubwa la Masumbwi lililopewa jina la The Last Hurrah, ilikua ni usiku wa October 2, 1980 kwenye jimbo la matajiri Las Vegas, Marekani kwenye ukumbi wa Caesars Palace, naukumbuka sana usiku ule wa Kiangazi

Ulikua ni mpambano wa wababe wa dunia enzi zile, Larry Holmes “The Easton Assassin” dhidi ya Cassius Marcellus Clay Jr (Muhammad Ali) mtukutu wa Louisville Kentucky Marekani, nyuma ya Mpambano huo kuna Promoter mmoja maarufu sana Donald King ‘Don King’ ndie alitaka dunia ishuhudie tena mambo ya kutisha
Lakini miezi kabla ya pambano hilo watu wengi walikua na hofu juu ya afya ya Ali, Nevada Athletic Commission walimchukua Ali na kumpeleka Hospital. Pale Jimboni Minnesota (Mayo Clinic) kupitia vipimo chini ya Daktari Bingwa Frank Howard, aligundua Ali ana shida kwenye mguu wa kulia na misuli, lakini waliamua tu kumpa kibali kwakua hakuwa serious sana
Lakini hiki kitu kilimuumiza sana Ferdie Pacheco, Daktari wa Ali ambaye alijiengua kwenye kambi 1977 baada ya Maboss wa Ali kukataa ushauri wake wa kiafya, baada ya pambano lake dhidi ya Earnie Shavers
Daktari wake alipeleka vipimo kwa Angelo Dundee na Jabir Herbert lakini hawakumjibu Daktari huyo, alietoa taarifa kuwa Ali ni mgonjwa sana

Ikumbukwe kuelekea mapambano hilo Ali alishafanya mambo makubwa sana, lile pambano la October 30,1974 dhidi ya George Edward Foreman (The undefeated Heavyweight Champion) mzigo ulikua pale Kinshasa Congo, waliita Rhumble in the Jungle, balaa kwenye misitu mikubwa ya mto Congo, Ali aliibuka bingwa
Lakini aliendelea kujizolea umaarufu mkubwa na kuwa kipenzi cha watu weusi duniani, naikumbuka mikono yake pale Araneta Coliseum Jijini Manila Ufilipino, kwenye Thrilla in Manila akimsambaratisha Joe Frazier ‘The Smokin Joe’ 1975 ilikua zaidi ya mchezo, Ali the Ring dancer anatupa na kutulia, alivutia watu wengi sana duniani.


Salma
Bondia aliyejibebea ubingwa na umaharufu mwingi
Agness
Safi Sana kwa ubigwa ulio pata
Ester jackson
Aaah inaonekana miaka hiyo ya nyuma kuna watu walikuwa na vipaji vya damu katika michezo sikujua hili asante meridianbet kwa taarifa
Mwanaidi
Ni bondia makini sana na yupo vizuri sanaaa
Neema juma
Watu na vipaji vyao. Bondia huyo ni balaaa tupu
Tahiya
Mohamed Ally hakika alikuwa bondia mzur sana jina lake alitasahaulika
Rehema
Mohamed Ally alikuwa kinara tena Ni bondia mwenye kujiamin Na bado tunamkumbuka sana
Julieth
champion
Antony Luseno
Mabondia wengi hero wao ni Ali
Neema hassan
Bondia mahiri sana#meridianbettz
Mariam mtandama
Safi
Theckla
Lilikuwa ni mpambano wa wababe wa dunia enzi hizo
Khadija
Bondia aliyejibebea ushind mkubwa#meridianbettz
felister
hakika muhammed ally alikua bondia mahiri
Evaluziga
Hongera yake kwa ubingwa alioupata
Elika
Bondia safi sana huyo..alijua kukitumia kipaji chake vizur
Rehema Dickson
Kwangu bado atabaki kua bondia bora dunian sina wa kumfananisha nae kwa kipindi hiki chote jina lake bado linaishi
Hope mwaikuka
Mpiganaj pendwa alitisha sana enz zake
isha
Wababe hawa wa dunia walitamba sana siku iyo
Ester mmakasa
Duuh!ni miaka mingi sana imepita lakini historia imefufuwa yote hayo kwakweli lilikuwa pambano la kibabe enzi izo .
Neema juma
The way i see he was greatest boxer ever
winfrida
Ulikua ni mpambano wa wababe wa dunia
Sadick
Alikuwa Bondia mzuri sana. Sifa zake ziliienea kote duniani#meridianbettz
Adelta
Hili Ni pambano zuri
Mashabiki tutaweka history
Dorophina
Ni bondia mzuri sana
Ernest
“The Last Hurrah” najaribu kuvuta picha kama ningekuwa nami nimekaa naangalia kwenye Luniga
Samiah
Nimzuri sanaa bondia huyu
mathayo sonje
huyu ndiye bingwa ambaye rekodi yake haijavunjwa bado
Genia Sikaluzwe
Huyu ni bondia mzuri sana
Hamidu
Mohammed ally alikuwa bingwa wa mabingwa
mwakalosi
the legend of boxing
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa
Mwanahamisi
Ni bondia mzuri katika mapambano
Mwajuma
Alikuwa bondia wamfano wakuigwa
lombo
Muhammad ally nouma sana
Zeiyana
Muhammed ali hatakumbukwa daima
Shafii
Bingwa wa kihistoria wa masumbwi uzito wa juu duniani inapaswa akumbukwe kwa kweli
Lydia Emmanuel Magoti
Namkubali bondia huyo ngumijiwe
Kenani
Duh noma sana
Furahav
Alikuwa zaidi ya simba.
Isaya massawe
Ukiwa na meridianbet unayajua mengi sikuwahi kufikiri haya
#meridianbettz
David Pere
Huyu Ndio mpiganaji hatari kwa upande wangu
Magdalena
Pambano lilikuwa Kali Sana ili kwa kipindi iko
Caroline
Dah alikua moto wa kuotea mbali
Gabriel
Mohammed Ali ndie boxer aliyepigana michezo ming na kushinda taji kibao mpk kuandikwa jina kwny historia ya watu maarufu dunian
Povel
Gud news
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa kutujuza
Evaluziga
Safi sana kwa ubingwa alioupata