UFC

HABARI ZAIDI

Rais wa UFC White Adokeza Kurudi kwa McGregor

0
Dana White ambaye ni rais wa mchezo wa UFC amesema kwamba Conor McGregor anaweza kurejea ulingoni baadaye mwaka huu.Tangu alipopoteza kwa Dustin Poirier mwezi...

Khabib Anatamani Ngannou Achapane na Fury

0
Bingwa wa zamani wa lightweight Khabib Nurmagomedov amesema mpiganaji wa UFC wa uzito wa juu Francis Ngannou huenda akakabiliana na Tyson Fury na kuimarisha...

Adesanya Atetea Mkanda Wake Dhidi Whittaker Ndani ya UFC 271

0
Israel Adesanya amefanikiwa kutetea taji lake la Middleweight Championship kwa mara ya pili mfululizo dhidi ya Robert Whittaker kwenye ukumbi wa UFC 271 jijini...

UFC: Rasmi Kurudi London March 19

0
UFC tatibitisha  tena kurudi nchini Uingereza baada ya mashindano hayo kusimama kwa muda mrefu nchini humo huku leo siku ya Jumanne wametangaza kupitia kurasa...

Anthony Joshua Amsifia Jake Paul

0
Anthony Joshua mshindi wa uzito wa juu IBF, WBA, WBO, IBO hana tatizo na Jake Paul katika mchezo wa ngumi. Tangu aingie kwenye ngumi za...

Vitor Belfort Amkalisha Evandar Holyfield Raundi ya 1.

0
Bondia wa ngumi za kulipwa Evander Holyfield (58) ambaye alistaafu mwaka 2011 alirejea ulingoni Septemba 12, 2021 katika pambano la maonesho ambapo alipambana na...

Kutoka UFC Mpaka Soka, Khabib Asaini na Legion Dynamo

2
Baada ya kutundika grovu za UFC, Khabib Nurmagomedov amesema kwamba atakuwa wazi kucheza soka la kulipwa.Na kwamujibu wa RT ndoto zake zimetimia baada ya...

Jake Paul Ajiandaa Kuzichaapa na Canelo

1
Jake Paul anajiandaa kupigana na bingwa wa uzito wa UFC Tyron Woodley mwezi Agosti 29 huko Cleveland, Ohio, lakini ameamua kumlenga Canelo Alvarez.Akiandika kwenye...

Abdelaziz: McGregor Anapenda Kutumia Madawa

0
Imekuwa wiki chache za ubize kwa Conor McGregor baada ya kupigwa na Dustin Poirier, na kuvunjika mguu na kisha akadokeza juu ya siku zijazo...

McGregor na Khabib Warushiana Vijembe Twitter

0
Baba wa Khabib Nurmagomedov Abdulmanap aliaga dunia kutokana na shida ya COVID-19 mwezi Julai 2020 na Conor McGregor alileta uatani juu ya hili kwenye...